Tazama Video Mpya ya Wimbo wa Nay wa Mitego Ulioleta Utata Mpaka Kufungiwa na Basata-Shika Adabu Yako

Msanii Nay wa Mitego baada ya nyimbo yake kukatazwa kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Basata ameachia video ya wimbo huo unaitwa “Shika Adabu Yako”, Video imeongozwa na Nicklass, angalia hapa alafu toa maoni yako.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtu mzima HOVYOOOOO.......ney wa mitege shika adabu yako na adabu ikushike........pumbavuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad