Tazama VIDEO ya Dakika 11 za Vurugu Zilivyotokea Katika Uchaguzi wa Meya Dar

Leo February 27 2016 ilitangazwa kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam ambao ulipangwa kufanyika Karimjee hall Dar lakini wakati watu wakiwa wamekusanyika tayari kwa uchaguzi huu, mzozo ukazuka baada ya kaimu mkurugenzi wa Jiji kutangaza kuahirishwa kwa uchaguzi huu hadi tarehe nyingine itakapotajwa tena.

Imeelezwa kwamba kesi ya msingi iliyofunguliwa February 2016 na watu ambao hawajatajwa ndio imeifanya Mahakama kuzuia uchaguzi huu wa Meya kwa muda.

Yote unaweza kujionea kwenye hii Video hapa chini….

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad