Team Kiba Acheni Majungu, Msapotini Kiba..Lupela Imepitwa Hata na Shika Adabu yako ya Nay wa Mitego

Kama ulikua hujui nakujuza nyimbo ya Shika adabu yako ya @naytrueboy imeikimbiza vibaya kwa kudownlodiwa mkito nyimbo ,mpka sasa ina zaid ya downloads 12,000 + wakat Lupela ya @officialalikiba ina 7,000 + tu!!! ingawaje lupela ilianza kutoka kabla yanyimbo ya Nay. Eti mashabiki ni halali kumfananisha Kiba na Diamond kwa mwendo huu wa kukalishwa na mzee wa Shika Adabu yako ney wa Mitego!!! Mashabiki msiishie kucomment insta muwe mnadownload pia nyimbo za wasanii wenu,hii ni aibu kabisaa kwani team kiba mnatukana kuliko kumsapoti mtu wenu kiba,wenzenu team Diamond, wanatukana na wana msupport mtu wao.. !! Nacho washauri tukaneno sana na msapotini kuliko kumtia aibu namna hii, Oneni sasa Ney anamzid taratibuuuu...

By Msaga sumu (Jamii Forums)

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo jina lilivyokaa 'kimatusi matusi'ndio linalovutia watu kujua kaimba nini huyu kichaa!!!

    ReplyDelete
  2. mtoa mada ni mhasisi wa majungu ndio maana anapenda music wenye maudhui ya kimajumajungu. so lazima asapoti shika adabu ambao una majungu.

    ReplyDelete
  3. weeeh niicha kweli ufahamu kama iyo nyimbo ya ney ameipak kick saana unadhan bil ya iyoo kick ya media iyooh nyimbo ingekuwa apo.....jipange baba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad