TEAM Wema Sepetu Wacharuka..Waamua Kulipiza Kisasi Kwa Nay wa Mitego kwa Kumfanyia Hivi

Team Wema wana hasira na Nay wa Mitego baada ya rapper huyo kumchokoza malkia wao kwenye ngoma yake mpya ‘Shika Adabu Yako.’

Kwenye wimbo huo Nay anarap:

Wema Sepetu una mimba kweli, au ndo kiki za msimu?
Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu
Na siku hazigandi tayari ushakuwa bibi
Na unakoelekea utatafuta kiki hadi kwa Fid

Mistari hiyo hawajaipokea vizuri na sasa Team Wema wako kooni kwa Nay wa Mitego wakilipiza kisasi. Wanazitengeneza picha za rapper huyo na kuzikiweka lipstick na mawig/weaving kumpa muonekano wa mwanamke.

Hata hivyo Nay haoneshi kutishika.

Asanteni wapenda muziki mzuuuriii..!! Haya wale waliopanic twendeeee tililikeniiiiiiii ila adabu mmeshika ndio maana mapovu yanawatokaaaa,” ameandika kwenye post mpya ya Instagram.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wote wasenge mafala

    ReplyDelete
  2. YEYE MWENYEWE NEY WA MITEGO ANATAFUTA KIKI KWA KUMWIMBA WEMA...BILA HIVYO UNAJUA NYIMBO YAKO HAITOKUWA NA MASHIKO

    ReplyDelete
  3. ney acha kutafuta kiiiki kwa kupitia kumwimba wema toka kivyako...

    ReplyDelete
  4. YEYE MWENYEWE NEY WA MITEGO ANATAFUTA KIKI KWA KUMWIMBA WEMA...BILA HIVYO UNAJUA NYIMBO YAKO HAITOKUWA NA MASHIKO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad