Team Wema Sepetu..Wamfariji Idriss Sultan Baada ya Wema Kuonekana Anatesa na Mwanaume Mwingine..Wengine Wahama Team

Baadhi ya page maarufu zilizokuwa zinamtetea Wema Sepetu kwa liwalo na liwe huko mitandaoni hasa Instagram wajulikanao kama Team Wema naona baada ya tukio la jana wengi wamekata tamaa na kumua kuhama team na Wengine kuondoa picha za Wema Sepetu kabisa kwenye page zao wakidai Wema Anawachanganya.

Huyu Matikiboko ya kwa muda mrefu amekuwa akimsupport Wema na kufikia kutukanana na watu mitandaoni hadi kufikishwa polisi kwa kumtetea Wema, Jana Amefuta picha zote za Wema Katika Account yake na kuweka za Nick Minaj....


Wengi leo Wameonekana kwenye page zao wakimfariji Idris Sultan baada ya Kupigwa kibuti...

Baadhi ya Comments kutoka Team Wema

iamneez25
@sarahmwakinyuke we na mm atuna tofaut mi siko team wema ila i love her bt matendo yake yanakera sana sio sir mpaka kina mati kufika huku ujue yamewachosha wanamtetea mpaka wanaonekana wehu mati ad police kakaa kisa wema inauma kwakwel inamuuma sana, ila yataisha haya na watarud kua kama zaman


matikibokoyao 
@idrissultan nakupenda sanaa baba

katunzi_ 
Yan wema kajua kutuvuruga lujichanganya kwa yule Osama hatosahau mana keshaxoea ATA akiyakoroga tunamtetea this time hapana bwana tunampenda iddy wallah Kama nikupe mdogo Wangu vile mlokole @idrissultan team idriss Miller

kimongat 
 I'm no longer team wema anadhalilisha sana sitakiiiii

mefmi
 hahaahaa nimekubali insta bila wema hapanogi yaani kumekuwa kimyaaaa! mi nasubiri atoe tamko tu ni delete account yangu maana nilimpenda yeye na idrissa basi! tena nitashukuru niendelee na shughuli zangu maana nilikuwa kama chizi kila mda nachungulia wamepost nini

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtu anaestahili kupendwa ni yule mwenye tabia nzuri km Huna sifa hiyo huna maana kwenye Jamii, wema sio msichana mwenye tabia nzuri km mtu aliechanganyikiwa akili, kweli ndio maana mama chibu hakumpenda aliona hafai kuwa na mwanae, wema ni malaya na hata pata mume wa kumuoa kazi kubadilisha wanaume anajidhalilisha tu

    ReplyDelete
  2. Rudini shule nyie team ushuzi,ndio maana elimu inaporomoka angalia matokeo ya form four kwa ajili ya huu ujinga wa team mavi.

    ReplyDelete
  3. Jamani mi mwenyewe ngachoka. Bora domo alivyo move on na zari. Wema your too much jamani. We umelaaniwa au umerogwa. Yaani huna familia ya kukushauri?? Mama yako hayaoni uyatendayo?? Unatia kinyaa jamani. Huna thamani hata kidogo. Yaani nimeumia kupita kiasi. Jirekebishe mdogo wangu. Wema km Ni kweli umeachana na idrisa, SHAME ON YOU. Na unaitaji mwanaisakolojia wa kukupa ushauri. Umemtumia kaka wa watu for revenge kwa domo.

    ReplyDelete
  4. Ujinga tu,pigeni kazi wema hafugiki

    ReplyDelete
  5. HUYU IDRISS NAE TULIMWAMBIA KUWA KWA WEMA AMEINGIA CHOO CHA KIKE BUT HAKUTUSIKILIZA. WEMA HAFAI KUA DEMU WA MTU.GONGA SEPA

    ReplyDelete
  6. Wema anahitaji maombi maana hii yake imezidi. Aibu mpaka kwa familia yake maana hawamshauri.

    ReplyDelete
  7. kweli mmekosa kazi nyie timu ushuzi mnaacha kupenda familia zenu eti mnapenda wema
    na wew chizi uliyeekwa ndani coz ya wema pole sana ni jinsi gahi unaonesha ulivyo mwehuu na mjinga wa mwisho

    ReplyDelete
  8. nyie mnao bwabwaja mnauakika? msione picha ishakuwa issue kwa Wema? ebu ulizeni muwe na uhakika idriss hajaachwa na kila mtu anabiashara zake au mnataka wagandane kana ruba, wanawacheka tuu manavyoangaika kama kuku.

    ReplyDelete
  9. Pengine sio kweli udaku wenu tu. Kama kweli Wema needs serious counselling. Ataokota makopo soon.

    ReplyDelete
  10. Huyu wema akisifiwa ni mzuri huona hakuna mzuri duniani kumbe.mimi binafsi ni mzuri kuliko wema tatizo huyu ni heredity

    ReplyDelete
  11. Hamiwezi kujua Labda Zile M500 Zimeisha Na Wema mnajua ni Mtu wa kufuata Harufu ya Pesa.

    ReplyDelete
  12. Mnataka aombewe aache umalaya ili afe....wema anaishi kwa kutegemea hela za wanaume tu akiacha kuuza ndobo ataishije?!na hua analenga hela tu......idris ni zile dollar za big braza ndo zilimvuta wema ajifanye anampenda. Idris nae na ushamba wake kaona kapata mke msenge....angekua mdogo wangu ningempuliza makofi halafu kama udugu uishe tu. Nna uhakika kashafilisiwa manina ngoja tumuone mtaani mpaka december

    ReplyDelete
  13. Wema anapenda mande. mwanaume mmoja hamtoshelezi. mwacheni kama alivyo na mimba yake fake.Na Bwana Idrisa wewe ni mtoto mdogo unataka kujirusha na jimama Wema ambalo limekubuu, sasa unaumbuka manake tulijua ulikuwa na mbio zako za sakafuni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad