Tekno Kahojiwa Kwenye Radio…Hataki Tena Kuulizwa Kuhusu Mrembo Mtanzania Gigy Money..Adai Hamjui

Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa Nigeria Tekno kwenye show ya Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya ‘wash‘ kuripotiwa kulala na Mrembo wa kitanzania aitwae Gigy Money.

Baada ya hizo taarifa kusambaa, Tekno alipost na kuandikiwa caption ya picha yake kwenye Instagram kwa Kiswahili akionekana kukasirishwa na kilichosambazwa na Mrembo huyu ambapo moja ya sentensi zilisomeka ‘umelala na meneja wangu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha sasa unaleta stori kwamba umelala na mimi‘

Hii ishu ilimfanya Tekno aendelee kupokea maswali mengi ya media aliporudi Tanzania tena Waandishi wakimuuliza kuhusu Gigy huyohuyo… Tekno amesema hatopenda tena kuiongelea hii ishu wala kuulizwa ila akasisitiza...
‘Kabla ya yote sijui Gigy ni nani, ni mtu ambaye nilipiga nae picha tu, sina chochote cha kufanya naye… namuheshimu na wala sio namdharau ila ni kwamba simjui’
Msikilize Hapa:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao ndio mapopo mademu dizaini yako wanawaita"OPEN AND CLOSE"yaani Ashawo au hit and run wao wanakeep sana tradion yao wakitaka kuoa au kuolewa ni kwao tu huko nje wnazuga tu na nyinyi dada zetu wa kibongo mlivyokuwa ubetwe kutoa URODA ah kwa kuwapapatikia watu toka nchi nyingine mtaishia kudunyuliwa vitumbua vyenu bila mpango wowote ule jaribuni kuamka na nyinyi mvipende vya kwenu

    ReplyDelete
  2. kitekno chenyewe uwiiiiiii,.. poleni kwa tamaa zenu mnalala mpaka na kuku wa mdondo!

    ReplyDelete
  3. whoah this weblog is excellent i really like reading your articles. 토토사이트

    ReplyDelete
  4. Heya i’m for the first time here. I found this board and I find It truly useful
    & it helped me out a lot. I hope to give something back and
    help others like you aided me. 온라인경마

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad