Soma Alichoandika Instagram
"wemareplies @Regrann from @matikibokoyao - @idrissultan toka hizi mambo zote zimetokea umeona natia neno kwanza ni hivi sina team ila I still love @wemasepetu no matter what ila jua wewe ndio umempa @wemasepetu stress ndio hata hizo pic unazosema sijui insta mcongo nothing is going on baba ww sema unachokifanya sio vzr mmekoseana why msimalize mambo yenu huko private @wemasepetu na ww usijibu kitu maana saivi zigo limesha kuangukia mbaya ww kama usemavyo damu Ya kunguni kama mati hapa ila ulichokosea kupiga pic na mcongo hata kama ulikuwa unamrusha roho iddy umekosea tayari umesha onekana mbaya lakini behind ukweli ni kwamba ilikuwa hasira na stress la fumanizi kati Ya @elizabethmichaelofficial na @idrissultan tena fumanizi la asubuhi asubuhi mtu anatoka chumbani na kataulo ila daaah inauma sanaa kikubwa iddy maizeni mambo zenu huko private acheni utoto sema lulu nae kibokokabisaaaaa nyakunyaku nichambeni lakini habari ndio hiyo " Matikibokoyao