Updates..Kilichosababisha Sintofamu Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi Kutaka Kuzama Hichi Hapa

Updates -  Kivuko cha MV Kigamboni mapema leo kilikaribia kuzama baada ya kuzidisha abiria na mizigo, baadhi ya abiria wajitosa na kuogelea.
Kilipoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki kwa abiria.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu atawasaidia watanzania wenzangu haitotokea kivuko kuzama milele Na milele ameen

    ReplyDelete
  2. hii kitu ya kujaza watu au mizigo kupita kiasi ni tabia zetu waafrika zinazotuumiza, inatakiw kuwe na usimamizi kwenye hilo

    ReplyDelete
  3. Kila kivuko kikizama utaambiwa sababu ni over weigh. Hivi hakuna watu wa health and safety? Kwenye hivo vivuko?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad