Vurumai hizo zilizotokea baada ya Msigwa kukasirishwa na kitengo cha DC kutaka kumuengua ili asionekane anatoa msaada kwa watu wa jimbo lake bali DC ndio ionekane anajali wananchi.Shutuma zilienda mbali baada ya Msigwa kumueleza DC kuwa anajuwa anamhujumu na amekuwa anapanga mikakati ya siri ya kumfanyia hujuma ili aonekane hafanyi kazi jimboni kwake.
Juhudi hizo zimefanyika week iliyopita ambapo DC kwa kushirikiana na Humphley Polepole waliandaa "mdahalo" na wanafunzi wa vyu vikuu mkoani Iringa na kuanza kumsema vibaya Mbunge Msigwa,katika mdahalo huo Polepole amerekodiwa akisema Iringa awalikosea sana kumchagua Msigwa sbb alikuwa anamuunga mkono "fisadi" Lowassa
Wakati DC Kasesera alimshutumu Mb Msigwa kutokwenda Tarafa ya Pawaga kusaidia wahanga wa mafuriko na Msigwa akamjibu kuwa aanze kumwambia Lukuvi kwanini hajaenda maana Tarafa ya Pawaga ipo ndani ya Jimbo la Isimani,na hata yeye akienda sio lazima DC ajue,kama ambavyo yeye anaenda na kupiga picha na kurusha Facebook akimbeba mpiga picha ambaye haitaji msaada wa kubebwa.
Vurugu hizo ziliamuliwa na diwani na Meya wa Mji. Mwishoni Msigwa akamwambia DC awaite polisi wamuweke ndani maana katika viako vya CCM DC Kasesera amekuwa akisema lazima amuweke ndani Msigwa kumtia adabu
Angalia Video Hapa:
Hii ndoo njia sahihi ya Ku deal na hawa wasio tambua majukumu yao wakuu wa wilaya walio pewa izo nafasi kwa kuwafunga kamba za vitu watawala. Safi sana Peter Msigwa kwa kuvunja ukimya Ila ulimkosea unge maliza nabvibao.Ccm Tumainiel W Seria, elnanyaro
Posted by Sadru Samanta on Thursday, February 18, 2016
duh
ReplyDeleteHii ni aibu, kama siasa zetu ndio zinatupeleka huku. ..siku zote viongozi wanapaswa kuongozwa na busara na sio ubabe au uropokaji.
ReplyDeleteHapa ina maana mbunge kivyake na Dc kivyake?me ninachokijuwa ni kuwa Mchungaji kwa ubunge wake alitakiwa kuwa karibu na Dc ili watatue matatizo ya wananchi waliokuwa na matatizo, lakini kinachoonekana ni kuwa Mchungaji uenda anaonyesha dharau kwa Dc kitu amabacho siyo chaa kimaadili ya uongozi. Jamani upinzani mmekuwa mkisema wazi kuwa hakuna haja ya kuwepo kwa DC wala RC tena wazi. Mjue katiba iliyopo ndiyo inayotumika hadi sasa hivyo kuonyesha dharau na kujiona siyo kitu muhimu. Mfano wa kuonyesha kuwa nyinyi mnazo kasoro za kiongozi hata KUBENEA na hivi karibuni TUNDU LISU nao wanaonyesha kitu hichohicho. Acheni nongwa kubalini mmeshindwa na sababu za kushindwa mnazijuwa na hasa wewe mchngajiMsigwa kwani hata fedha haramu umekula na kupelekea nyie kushindwa vibaya na mtaendelea kushindwa tu.
ReplyDeleteUpinzani sijui huwa wanaapishwa wawe hivyo,maana ukiwaangalia wengi wao ni wababe,jazba mpaka kero.Msigwa ni mbabe kweli asikuambie mtu.HAISADII NA MNATUBOA.
ReplyDeletewamechukuliana manzi hawa
ReplyDelete