Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wakimuombea Rais Magufuli, ili aweze kufanya kazi zake vizuri walipotembelea ofisi za Spika wa Bunge kwa mazungumzo mafupi jana. Rais Magufuli siku zote amekuwa akisisitiza na kuomba wananchi wamuombee.
Neno moja tu kwa wabunge hawa wamarekani
Madini yaliuzwa zamani sana! Acha mzaha na imani za watu
ReplyDeletenani alikuwepo akaleta hizo habari za maombi au mmeshazoea uongo mtawadanganya hao hao wasukuma wenzenu. hapa kazi tu.
ReplyDelete