Wabunge wa Marekani Washusha Maombi Kumuombea Rais Magufuli Afanye Kazi yake Vizuri

Wabunge na Maseneta wa Bunge la Marekani wakimuombea Rais Magufuli, ili aweze kufanya kazi zake vizuri walipotembelea ofisi za Spika wa Bunge kwa mazungumzo mafupi jana. Rais Magufuli siku zote amekuwa akisisitiza na kuomba wananchi wamuombee.

Neno moja tu kwa wabunge hawa wamarekani
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Madini yaliuzwa zamani sana! Acha mzaha na imani za watu

    ReplyDelete
  2. nani alikuwepo akaleta hizo habari za maombi au mmeshazoea uongo mtawadanganya hao hao wasukuma wenzenu. hapa kazi tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad