Wenye Mavogue na Mujumba ya Kifahari wote Sasa Waangaliwe Tax Paying Records

Kumekuwa na tabia nyingi za watu kujinasibu kwenye mitandao ya kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari, magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS. Kuangalia background financial history na Tax payment compliance.

Haiingii akilini mtu ana kiduka cha.nguo za china sinza ana range rover na Tax paying history yake ni void. Huyu ana maswali ya kujibu kipato chake kikoje na shughuli ipi halali inampatia kipato.

Kuna wimbi la vijana wanaendesha magari ya bei ghali lakini ukiuliza biashara au ofisi au hata bank account hawana. Ni lazima tubadilike wote kwa ujumla tulipe kodi
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maisha yamewashinda mnawaonea watu gere tu hamna lolote na mtazidi kupindika mpaka mkome

    ReplyDelete
  2. Kweli kodi Ni moja ya maendeleo ya taifa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad