William Lukuvi Amekabidhi Ramani za Maeneo Yote ya Mitaa ya Jiji la Dar kwa Wenyeviti wa Mitaa. Asema Bomoabomoa Inakuja.


William Lukuvi amekabidhi ramani za maeneo yote ya mitaa ya Jiji la Dar kwa Wenyeviti wa Mitaa. Asema bomoabomoa inakuja.

Amesema ametoa ramani hizo ili kila mwananchi atambue eneo alilojenga kama hakustahili kuwepo aanze kujipanga.

Baadhi ya mameya waliohudhuria makabidhiano hayo mbali na kuelezea mipango ya manispaa zao juu ya suala la mipango miji wamesema baada ya wizara kutoa ramani hizo tatizo sugu la migogoro ya ardhi litapungua kwani kila mmoja atafuata taratibu na sheria zilizopo.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani hizi ziara za Kikwete na Mkapa pale Ikulu mbona haziishi????? Juzi juzi hapa wameonekana tena pale kwa kile kinachoitwa mazungumzo na Rais JPM. Hayo ni mazungumzo gani ya kila siku????? Tena kutoka kwa Marais wastaafuu???? Mbona wakati wao hatukuwa tunaona Marais waliowatangulia wakikesha kwenda pale Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na wao?????? Kuna biashara gani inayoendelea pale????? Jamani mwacheni JPM afanye kazi zake za kutumbua hayo majipu ambayo yameleteleza umaskini uliokithiri miongoni mwa Watanzania dah!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad