Naytrueboy Ameandika Haya:
"MadLove AboutLastNight Masasi #ShikaAdabuYako ilipoanza tu Ikawa ivii
Asanteni Watu wangu wa Kusini #ShikaAdabuYako hii Ngoma nadhani kwangu haijawaitokea. Sitaki kuamini kua mpaka Uku mikoani tayari ni Wimbo unaoimbwa na kila Na Kila mtu Kama imetoka miezi Miwili iliyotoka.!! Faraja niliyonayo haielezeki. #ShikaAdabuYako Next week Video out!!" Nay wa Mitego
na ndio lilikuwa lengo lako wa mitego
ReplyDeleteHao ni wavuta-bangi wenzio, hawajijui,hawajitambui
ReplyDelete