Web

Yatokea Sitofahamu katika Pantoni La Kigamboni baada Ya Kugoma Leo Asubuhi

 Hatari....Nimetumiwa picha hizi hapa na wadau wa Udaku Special Blog zikionyesha hali ilivyokuwa katika kivuko cha Kigamboni leo asubuhi , Bado sijapata nini kilisababisha hatari hiyo nitawajuza nitakapopata habari kamili baadae

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mitihani mengine mungu asituonyeshe milele amiin

    ReplyDelete

Top Post Ad