ALI KIBA na Sauti Soul Wanakuletea Video Mpya ya Wimbo Walioshirikiana Unaitwa Unconditionally Bae...Ali Kiba Kafunika Balaaa

Mabibi na mabwana Sauti sol kutoka  Kenya wametuletea video ya wimbo wa Unconditionally bae waliyomshirikisha Alikiba kutokea Tanzania

Unaweza ukaitama hapa chini nimekuwekea mtu wangu wa nguvu

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eeee bana eeeeeh balaaa kiba duuh we nomaaa huna mboyoyo mingi ila kazi yako inaonekana...kiba una sauti jaman...na kucheza unajua....sio mwana fudenge na kati ya DNA...kazi kutafuta kiki daily..bonge la wimboo videooo ndo mmemaliza yani safiiiii kibaaa goooo kiba gooooo...

    ReplyDelete
  2. Che bella, mamma mia!
    Beatiful to watch especially the dancing part. No Challenger!!
    Kiba...Sauti Soul...BRAVISSIMI!

    ReplyDelete
  3. maneno mengi yamekutoka anony 11:58,by the way nice song from saut sol!...

    ReplyDelete
  4. Kwasababu amefanya kitu kizuri...ndo maana nimemsifia sana kwani vp...kuna tatizoo...anony 1:50...kama hakuna kaoge ulale

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad