Breaking News: Chadema Washinda Uchaguzi Kiti cha Umeya Jiji la Dar es Salaam...


UchaguziMeyaDSM Isaya Mwita-CHADEMA mshindi wa Umeya jiji la DSM kwa kura 84 dhidi ya kura 67 za Yenga Omary-CCM ambapo Kura7 zimeharibika.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CHADEMAAAAA OYEEEEEEEEEE!!! saafiiiiii sanaaaa, sasa miji yote mikubwai yetu!

    ReplyDelete
  2. Hongera ukawa, mwanzo mzuri haijawahi kutokea kwa Dar es salaam. Viva Lowassa

    ReplyDelete
  3. HAYA HONGERENI.KIBARUA CHA MWANZO HAPA JIJINI NI USAFI JIJI LINANUKA ILE MBAYA KUTOKA SEWAGE SYSTEM INAYOFURIKA MAJI TAKA HADI MITARO NA BARABARA ZAKE.MALUMBANO PEMBENI SASA NI KUPIGA KAZI TU. TUNAWATAKIA USHIRIKIANO MWEMA KWA MAENDELEO YA WOTE.BUSTANI ZA JIJI ZIFUFULIWE KWANI ZIMEGEUZWA VIJIWE VYA WAKABAJI NA VIBAKA.

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Chadema. Sasa uchaguzi umekwisha iliyobaki ni kupanga mambo ya maendeleo ya jiji letu na siyo malumbano ya siasa. Nawashauri kumuunga mkono mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bila kujali chama maana ameanza kazi yake kwa kasi nzuri. Tunatarajia mabadiliko dar ambapo kuna kila aina ya uozo. HAPA KAZI TU WATANZANIA MPAKA KIELEWEKE. MUNGU IBARIKI TZ.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Chadema. Sasa uchaguzi umekwisha iliyobaki ni kupanga mambo ya maendeleo ya jiji letu na siyo malumbano ya siasa. Nawashauri kumuunga mkono mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bila kujali chama maana ameanza kazi yake kwa kasi nzuri. Tunatarajia mabadiliko dar ambapo kuna kila aina ya uozo. HAPA KAZI TU WATANZANIA MPAKA KIELEWEKE. MUNGU IBARIKI TZ.

    ReplyDelete
  6. andika vizuri bwana umeunganisha maneno sana meya wa jiji anaitwa nani?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad