HAYA HONGERENI.KIBARUA CHA MWANZO HAPA JIJINI NI USAFI JIJI LINANUKA ILE MBAYA KUTOKA SEWAGE SYSTEM INAYOFURIKA MAJI TAKA HADI MITARO NA BARABARA ZAKE.MALUMBANO PEMBENI SASA NI KUPIGA KAZI TU. TUNAWATAKIA USHIRIKIANO MWEMA KWA MAENDELEO YA WOTE.BUSTANI ZA JIJI ZIFUFULIWE KWANI ZIMEGEUZWA VIJIWE VYA WAKABAJI NA VIBAKA.
Hongera sana Chadema. Sasa uchaguzi umekwisha iliyobaki ni kupanga mambo ya maendeleo ya jiji letu na siyo malumbano ya siasa. Nawashauri kumuunga mkono mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bila kujali chama maana ameanza kazi yake kwa kasi nzuri. Tunatarajia mabadiliko dar ambapo kuna kila aina ya uozo. HAPA KAZI TU WATANZANIA MPAKA KIELEWEKE. MUNGU IBARIKI TZ.

CHADEMAAAAA OYEEEEEEEEEE!!! saafiiiiii sanaaaa, sasa miji yote mikubwai yetu!
ReplyDeleteHongera ukawa, mwanzo mzuri haijawahi kutokea kwa Dar es salaam. Viva Lowassa
ReplyDeleteHAYA HONGERENI.KIBARUA CHA MWANZO HAPA JIJINI NI USAFI JIJI LINANUKA ILE MBAYA KUTOKA SEWAGE SYSTEM INAYOFURIKA MAJI TAKA HADI MITARO NA BARABARA ZAKE.MALUMBANO PEMBENI SASA NI KUPIGA KAZI TU. TUNAWATAKIA USHIRIKIANO MWEMA KWA MAENDELEO YA WOTE.BUSTANI ZA JIJI ZIFUFULIWE KWANI ZIMEGEUZWA VIJIWE VYA WAKABAJI NA VIBAKA.
ReplyDeleteHongera sana Chadema. Sasa uchaguzi umekwisha iliyobaki ni kupanga mambo ya maendeleo ya jiji letu na siyo malumbano ya siasa. Nawashauri kumuunga mkono mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bila kujali chama maana ameanza kazi yake kwa kasi nzuri. Tunatarajia mabadiliko dar ambapo kuna kila aina ya uozo. HAPA KAZI TU WATANZANIA MPAKA KIELEWEKE. MUNGU IBARIKI TZ.

ReplyDeleteandika vizuri bwana umeunganisha maneno sana meya wa jiji anaitwa nani?
ReplyDelete