STAA wa Bongo Fleva asiyechuja kwa takriban miaka 7 mfululizo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameeleza mikakati yake kuwa ana mpango wa kumpa mimba nyingine malkia wake wa nguvu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Risasi Jumamosi linakuhabarisha.
Diamond ambaye tayari amejaaliwa mtoto mmoja (Tiffah) na mrembo huyo raia wa Uganda, amefunguka jambo hilo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano mafupi na mwanahabari wetu kuhusu mikakati yake ya kimaisha.
Alisema anamshukuru Mungu Zari kukubali kumzalia Tiffah tofauti na warembo wengine aliowahi kutembea nao lakini kwa kuwa yeye anapenda watoto, ameanza ‘kuchakarika’ ili Tiffah apate mdogo wake na si huyo tu, hata na mwingine kadiri Mungu atakavyombariki.
“Mimi napenda watoto. Bahati nzuri Mungu pia amenipa mwenzangu ambaye naye anapenda watoto. Hivyo si vibaya nikifikiria mtoto mwingine na mwingine yani kadiri Mungu atakavyonijalia.
“Yote hayo nitayafanya kwa utaratibu maana si unajua tena shughuli zangu za muziki nazo zinanibana, bado nahitajika nilee familia hivyo nitajipanga vizuri nina imani hakuna kitakachoharibika,” alisema Diamond.
Kabla ya kukutana na Zari, kwa nyakati tofauti Diamond aliwahi kubanjuka penzini na warembo kama Penniel Mungwila ‘Penny’, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Wema Sepetu ‘Madam’ pasipo kupata mtoto ambapo staa huyo wa Wimbo wa Utanipenda akisema warembo hao hawakuwa tayari kumzalia kwa kile alichodai kuwa walizidiwa na nguvu ya ujana.
Chanzo: GPL
kuna mtu kamkazata kuzaa? au bado ajiamini anaanza na promo.
ReplyDeleteAnajibu alichoulizya na wanahabari.
DeleteANAPENDWA KUTAJWA TUU LABDA KATUNZI AMSAIDIE TENA.
ReplyDeleteKaa wee yule unaemwita baba alivyosaidiwa na wauza mkaa. Kimaza chako kichangujee. Chupi mkononi kaa yule kura 90. Mbwa usie na DNA wee. Mfyuu
DeleteNdoa lini ndguyangu au kuzini ndo fashion
ReplyDeletewe umezn mara ngap ndugu au kaz kunyoshea vdole wenzio unasahau kuwa na ww ni nafsi kama nafsi zngne!.
DeleteWote mnaomsaidia kutangaza zinaa mtakuwa nae jahanam
ReplyDeleteJiekezee Dada wala usirudi nyuma
ReplyDeletekampa kampa kampa tena,....... fasta wafunge midomo.
ReplyDeleteYou have a baby making machine just do it haaah lol
ReplyDeletejanja ya paka hiyo. ripoti ya DNA si nzuri sasa anaanza kujipanga upya.
ReplyDeleteMy brother daimond bado kidogo utakua kama wife pendeza baba unakunywa maji gani
ReplyDeleteZAAA TU MOND MUNGU AKIKUPA WATOTO
ReplyDeleteKijana wa Kiislamu unajipanga kuendeleza kuzaa wa nje ya ndoa yaani unafanya zinaa wala moyo haushtuki kabisa .
ReplyDeleteKama unampenda kwanini usifunge ndoa ukahalalisha kabisa what the different .