Diamond Platnumz akutana na Kanye West, Los Angeles

Diamond Platnumz amekutana na rapper ambaye watu wengi wangependa kukutana naye na kuongea mawili matatu kutokana na heshima yake, Kanye West.

Najua kuwa Diamond na Kanye wana kitu kimoja wanachofanana – wote wanapenda fashion kwahiyo kwa hitmaker huyo wa ‘Make Me Sing’ kukutana na Yeezy hata kwa dakika chache tu ni kitu alichokipokea kwa heshima kubwa.

Bila shaka Diamond alikutana na rapper huyo aliyeachia album mpya The Life of Pablo hivi karibuni kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles, LAX.

“LA am in Town Baby!!!….. With my bro #WEST,” aliandika Diamond kwenye picha aliyopost Instagram.

Hata hivyo mwisho wa safari yake ni Las Vegas.

“Duh tangu jana saa 10 jioni nipo kwa mandege tu [disappointed_relieved] ….What a Long a** flight!…. Still gat 28 mints to land in LA, then wait for 4 hrs transit….then connect from LA to Las Vegas,” aliandika kwenye picha hiyo chini.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii picha ukiitizama tu unaiona kama ni addit vile walivyokaa kimtazamo wa picha unaweza kutambua kwamba hizi picha ni mbili kila mmoja hapo kapiga kivyake individual
    Diamond anapokutana na master wakubwa wa music huwa hapigi picha amepauss namna hii ungemuona mikono hapo kanyanyua mikono na madole yote hewani
    Jengine Kanye West is big man sio kama master wetu wa kibongo ukenda kariakoo shimoni unamkuta kainama anapatana bei fungu la nyanya. Kanye hio crow yake anotembea nayo huyu Diamond asingesogea hapo .

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA USENGE NA UFARA HAPO PICHA YA KU EDIT IKO WAPI HAPO FANYENI YENU MWACHANI DAI NA MAISHA YAKE - msonyo

      Delete
  2. mwache awadanganye vilaza wenzie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we ndo kilaza namba 1 shenzi

      Delete
  3. WaPo pamja na hata sura zao wamefanana sio edit kabisa mpaka tabia wote wameoa wazungu well done mr diamond wewe ndio celebrate wa kweli

    ReplyDelete
  4. kila hanithi asojua saa na dakika wala kubadilisha chupi ni wewe Anony 5.54 PM. mshenzi wa mwisho

    ReplyDelete
  5. KWANI HUYO NI MALAIKA AU YESU MPAKA MNAMSHANGAA. HANYI WALA HAKOJOI KANYE? ILA ANATIA VIZEE KAMA DOMO.

    ReplyDelete
  6. Jamani kwani kanye kawa nani nae SI binadamu Tu, Dai fursa hiyo kwa jinsi ulivyo mthubutu tunategemea collaboration kila la kheri, peperusha bendera ya Tanzania. Hapa halahala wakenya wasije sema diamond anatokea Kenya sasa maana wao kila king'aacho utasikia Ni Chao, lol

    ReplyDelete
  7. Diamond ni Mkikuyu wa Kenya wazee wake wamehamia TZ kipindi kile cha machafuko ya vita vya ukabila kenya vilivyosababishwa na uchaguzi mkuu wa vyama vingi ya siasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad