Diamond Platnumz Ametoa Sababu za Wasanii Wakubwa Afrika Kupotea Kwenye Ramani ya Muziki...

Diamond Platnumz ametoa sababu ambazo anaimani zinasababisha wasanii wakubwa AFrika kupotea kwenye ramani ya muziki na kusema ni kuendekeza mashauzi, starehe na kutaka kujionesha.

“Unajua wasanii wengi wanapoteza na kushuka kimuziki sababu ya starehe pamoja na mashauzi. Unakuta mtu amepata mafanikio kidogo anaanza mashauzi na kufanya starehe zisizo na tija, ndiyo maana mimi huwezi kuniona kwenye starehe hata wasanii wa WCB ni hivyo hivyo”

Diamond amempa shavu Shettah kwa kusema ni mfani mzuri wa kuigwa

“Mimi namkubali sana Shettah kwani jamaa ni bahili sana anaweza kutoka kufanya show na akakwambia sina pesa, hata gari yake aliyonunua juzi amenunua kwa pesa zake sababu anakusanya pesa zake na kufanyia vitu vya msingi. Sasa hivi Shettah anajenga nyumba yake na hiyo yote sababu si mtu wa mashauzi na wala si mtu wa starehe”

Diamond alifanyiwa mahojiano wakati anamtambulisha RayMond

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapan huo sii ukwel kupotea ni kutokow na mipangilio thabiti na sio shereh wala mashauzi. Kam una mipangilio mizur kwa mfano ujue nikiamk asubuh nitafany nini na mchan na jion. Huk ukipang ratiba ya jins utatumia mdaa wako kwa mwezi. Kam hujui jins ya kufany hivy bas hap ndo weng huwa wan feli. Kwan wanafany kit ceny hakikuwa kweny ratib. Ni wasan wangap maaruf tunafaham ten wanafany hivy vit na mpak sasa wangal kweny game?

    ReplyDelete
  2. Daimond hayo pia ni mashauzi kila saa kukandia wasanii wengine hata wewe utafulia tuu hautokua kwenye game siku zote

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad