Diamond Platnumz Amtumia Salamu za Pongezi PAUL Makonda Baada ya Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa...Asema Haya

Mwanamuziki Mwenye mafanikio makubwa katika mziki wa Bongo flava ametuma salamu za pongezi kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika haya:

Mafanikio hujaga kwa juhudi na kuto kukata tamaa... Hongera sana my brother @PaulMakonda kwa kuchaguliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam... nakutakika kila lenye kheri kwenye kuhakikisha Dar es salaam yetu Inang'ara  @PaulMakonda 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good job&good motivation

    ReplyDelete
  2. basi ndio iliyobaki kwa wasanii kupiga kampeni na kutoa pongezi, kama mngekuwa mmeenda shule mngepata nafasi za juu sirikalini, tatizo shule na akili hamna masikini mmebaki kulelewa tu na mijimama. nenda shule hujachelewa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mwenye shule mbona unasugua benchi kukaa foleni ya kutafuta kazi?IMEANDIKWA MWANAUME ATAKULA KWA JASHO LAKE NA SIO ATAKULA KWA ELIMU YAKE.CHUKI YA NINI?TANZANIA NI MOJA.

      Delete
    2. Makonda anastahili,HONGERA SANA.

      Delete
  3. Mdau hiyo chuki binafsi we ulienda shule hongera kea elimu yake yeye hajaenda shule ila humlipii kodi ya nyumba wala humlishi,,anakula kwa jasho na ana make more money kuliko wewe ulio soma,,,kulelewa na mijimama ni uamuzi wa mtu binasfi hata wewe ukipenda tafuta wako akulee mbona vibint vinalelewa na suga Dadys,,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad