Diamond Platnumz Huwa Hali Chakula Anachopika House Girl Wake..Kisa? Harmonize Afunguka Hapa

Msanii wa bongo Fleva Harmonize amefichua siri kuwa bosi wake msanii Diamond Platnumz huwa anakula chakula ambacho mke wake Zari amepika wakati akiwa nyumbani.

Harmonize amefunguka kuwa shemeji yake,Zari huwa hapendi chakula anachokula Diamond kipikwe na msaidizi wa kazi za ndani,huwa anapika yeye mwenyewe.

“Yani Zari ni shemeji bora kwangu, kwanza chakula cha Diamond hakipikwi na yeyote zaidi yake, so akimuwekea na mimi huwa nakula pia sababu Diamond nae hapendi kula peke yake” alifunguka msanii huyo anayetamba na wimbo wake wa Bado.

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnafiki mkubwa huyo bii akiwa kwake nani anampikia Domo bongo.

    ReplyDelete
  2. Harmonize anajua kujipendekeza lazima aonyeshe yuko chini ya maboss wake. hata wakimnyea usoni atalamba.

    ReplyDelete
  3. KWAHIYO BIBI ANAMPOSTIA DAI US SASA HIVI? NDO NYIE MNAOWANYOA MPAKA MAVUZI YA BIBI BOMBA.

    ReplyDelete
  4. kweli hata Almasi akinya Zari huwa anayacukua mavi na kwenda nayo ug.

    ReplyDelete
  5. harmonize rudi kwenu mtwara ukawaone wazazi wako. wacha kujipendekeza kwa watu usowajua. hasa bibi masumbuko hunjui alivyo.

    ReplyDelete
  6. na sasa hivi anampelekea huko alipo? hebu rudi shule acha kujipendekeza sana Shangazi atawafukuza muda si mrefu.

    ReplyDelete
  7. Kwani wamefunga ndoa lini?

    ReplyDelete
  8. Honestly mahausegel wengi ni wachafu kazi zao wanazifanya rafu rafu tu ilimradi wamalize. Myself huwa napika mwenyewe hata km ninaumwa nitajikongoja nipike mchemsho wa fasta kuliko kupikiwa na housegel.

    ReplyDelete
  9. Mwanamke yoyote anaejitambuwa huwa anajiskiya fahari kumuandaliya mme wake chakula

    ReplyDelete
  10. Hahahahahahahaha

    ReplyDelete
  11. Zari sio mke wa domo bali ni mzinzi mwenzie Domo ajao isipikuwa anafanya zinaa, wewe mhandishi ujui uandikacho wala nini jukumu la taaluma kwa jamii wayannaudhu billah

    ReplyDelete
  12. Oh anayemtayarishia chakula mwanao chakula ni..

    ReplyDelete
  13. CHUKI,CHUKI.MIMI SIJUI HII NCHI NI YA AINA GANI.MAFANIKIO YA MWANAMUZIKI DIAMOND DUNIANI YANASAIDIA PIA KUIPAISHA TANZANIA KWA HESHIMA NA NYANJA KIBAO.KUNDI LA MALAYA-MBWA WA TANZANIA WAKIONGOZWA NA WEWE MUATHIRIKA FULANI MNA DONGE LA CHUKI-KICHAA`KWA DIAMOND KUANZIA SEHEMU ZENU CHAFU ZA NYUMA HADI SEHEMU ZENU CHAFU ZA MBELE.DIAMOND NI NYOTA ING'AAYO,DIAMOND NI BALOZI WETU WA TANZANIA DUNIANI KOOOTE ANAKOFANYA ZIARA.MWENYEZI MUNGU AMZIDISHIE VIPAJI,UWEZO NA AFYA NJEMA.MNAOMCHUKIA MUWACHUKIE NA WAZAZI WENU WALIOWAZAA,PIMBI MWITU NYIE.

    ReplyDelete
  14. FUNGA MKUNDU WAKO WEWE ANONY 11.50. PM. HUYO DAI NDO ANAEIMBA MWENYEWE TZ? HUJUI KAMA ANAHONGA ILI APEWE VIKOMBE VYA RANGI YA KANGA NA BIBI MAVUZI JE? ANAMPIKIA NA KUMTUMIA KILA ANAPOKWENDA? MTABAKI KUMSIFIA NA KUNUSA MKUNDU UKU HAMJUI CHOCHOTE, MAHAYAWANI

    ReplyDelete
  15. Kwa kweli wanaombeza mondi hawako sawa, ila na wewe unaesema nchi hii ikoje una matatizo, wakikosea wachache unasema ni ni nchi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad