"Ndg., Dkt. Mashinji is a friend, brother and colleague. Hakuwahi kutuokoa mimi na Dkt. Ulimboka, na hakuwahi kuongoza mgomo, sema alishiriki mgomo ulioongozwa na mimi na Dkt. Ulimboka. Kiukweli, ni mwanasiasa mzuri, msemaji, msomi mzuri (tumesoma naye MBA chuo kimoja), sina hakika kama alimaliza masomo ya Ubingwa maana alinyanyaswa na Supervisor wake, akasusa akaamua kujiiunga masomo ya MBA na sina hakika sana kuhusu 'msimamo usiotetereka'. Maana baada ya vitisho vya 2005, aliyumba sana na tulimtenga na ku-aVoiD kumualika vikao vya CC ya mgomo. Hivyo, kama kigeZo kilikuwa ni hii historia, pole kwa CHADEMA." Ameandika Dk Kigwangalla
Dk.Hamis Kigwangalla Afunguka na Kusema "Poleni CHADEMA Kwa Kumchagua Dkt. Mashinji Kuwa Katibu Mkuu"
6
March 14, 2016
Kupitia Account yake ya Facebook Dk Hamisi Kigwangalla anakiri wazi kuwa Dkt. Mashinji ni msomi mzuri na mwanasiasa mzuri ingawa anadai hana uhakika kama alimaliza masomo ya ubingwa.
sijui huyo bwana hapo juu anaongea nn?
ReplyDeleteHahaha,mifisiem bhana ina lana
ReplyDeleteKilaza huyu toka lini aliongoza mgomo wa madaktari huyu mnafki tu.....aende zake huko kiongozi wa mgomo wa madaktari ni Dr Ulimboka tu tunamjua na tulikua tunamuona na kubadilishana naye mawazo kwa sisi ambao ni wafanyakazi wa muhumbili.........We mtoto wa mama lamda uliongoza mgomo chumbani kwako na familia yako
ReplyDeleteHa ha ha ha haaaaa uwiiiii.....
Deletemgomo chumbani hahahahaaaaaa
ReplyDeleteEmb fnya kaz bhna uliyotmwa na mh rais achna na hya mambo ya siasa coz yameshapta tngu octber last year,wananch tnataka maendeleo na cyo siasa tna!!!
ReplyDelete