Dr. Shein Afunguka: Nategemea Ushindi wa Kishindo.


Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar Dkt Ali Mohammed alizungumza na wanahabari baada ya kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Kibera kisiwani Unguja  ambapo alisema anaamini atashinda kwa kishindo na kuhusu kushindwa  alisema tusubiri matokeo ya uchaguzi ndiyo yataamua.


"Nimepata nafasi ya kupiga kura kama haki yangu ya  kimsingi na kumekuwa na utulivu mkubwa kwenye zoezi hili,hali ya ulinzi imeimarishwa. 


"Matumaini yangu ni kushinda kwa kishindo, kuhusu kushindwa ndugu muandishi tusubiri matokeo ndiyo yataamua".Alisema Dkt. Ali MohammedShein
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ata aibu halioni shenzzz

    ReplyDelete
  2. Hana haya ht salama,lkn roho inamsuta shenzzz

    ReplyDelete
  3. sura mbaya roho nayo mbaya.

    ReplyDelete
  4. Dr Shwain kwani uchaguzi wa awali ulikuwa na tatizo gani mjomba? Mpaka huu wa marudio unaweza kujihakikishia ushindi? For shure wewe ni mshindi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad