EDWARD Lowassa: Rais Magufuli ni Mfano wa Viongozi wa Afrika Wasio na Maono

Edward Lowassa leo ameamua kumuelezea ukweli rais Magufuli kuwa ni miongoni mwa marais wa Afrika wasio na maono. Lowassa pia amesema kuwa Tanzania chini ya Magufuli itakosa kabisa ubunifu.

Hayo yanajiri baada ya rais John Magufuli kuzuia mambo mengi kwa lengo la kubana matumizi. Huku wataalam mbalimbali wakikwama kuwekeza kwenye taaluma baada ya kuzuiwa kupata mafunzo mbalimbali nje na ndani ya nchi.

Aidha rais Magufuli amekuwa akitoa hotuba kwa hisia kali hali inayowafanya wasaidizi wake kuingiwa na woga kwenye uthubutu.

"Magufuli ewafanya wasaidizi wake kukosa kabisa ubunifu na uthubutu wa kufanya maamuzi. Tanzania chini yake haitakuwa na jipya" amesema Lowassa.

Aidha Lowassa amesema kuwa sera ya elimu bure kwa Magufuli imekuwa "zero" baada ya kuiga.

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lowassa speech does not make sense at all. Tanzania needs a more disciplined society and that is exactly what Magufuli is doing.

    ReplyDelete
  2. omba uzima miaka 20 ijayo si mingi utakuwa raisi

    ReplyDelete
    Replies
    1. rais wa choon labda

      Delete
    2. Zito atakuwa wapi kama swala ni kutawaliwa na chama pinzani?

      Delete
  3. Hmmm tungekuwa na huyu Tanzania ingefika kweli inapotaka kufika. Huyu nae alikuwa madarakani muda mrefu. Lakini baada akaja kuwa tajiri. Nae ni mmja wapo wa wale. Mafisadi wezi rushwa. Wamuache Raisi wetu aitengeneze Tanzania nayo ipate heshima kimataifa maanake inadhalaulika. Hata majilani tu wamepiga hatua hata kwa miundo mbinu ya maana inayoenda na wakati lakini sio sisi pamoja na raslimali zilizogunduliwa vyote vinaingia mifukoni sio manufaa kwa taifa manufaa kutunisha mifuko yao. Na watanzania wengi hawaelewi na umasikini na khali duni imekuwa utamaduni wao. Kwa kuwa wengi hawazunguki duniani kuona wenzao nao kuko vip. Tena Tanzay yenye uchumi mkubwa wa raslimali. Baba kachunge ngombe. Usije tuingiza mkenge. Tukakengeuka inatosha. Kila kitu uozo tu hii Tanzania. Maendeleo yatakujaje sasa? Maisha yamekuwa mazuri kwa wachache design. Walafi. Mafisadi hmmm hapana. Acha Tanzania mpya ya magufuri umurike kila sehemu ipate kusonga mbele. Nyie mafisadi wezi walafi tumewachoka. Mnawapa tabu waliowengi

    ReplyDelete
  4. jinga kweli umeichafua chafua hii nchi imekuwa kha jalala
    ebu kachunge uko
    mfyuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. Lowasa 2020 huwezi kupewa nafac ya kugombea urais iwe ukawa wala chadema jina Lako litakatwa wanakutumia bure tu kwa Sasa keep it in your mind

    ReplyDelete
  6. hili zee hvy bora likaage kmyaa
    siasa hajui utendaji ziro
    kazi kuiba tuu

    ReplyDelete
  7. Nakuunga mkono Mheshimiwa Lowassa kweli serikali ya Magufuli haina maono kwa kusulubisha mafisadi na wadhilifu wa mali ya umma watu tunataka mtu kama wewe ulaji kwa fujo ungeshika nchi tungekula na kuchota tunavyotaka na katiba ya nhi ya muhula ya kushika urasi tungeibadilisha isiwe miaka mitano ili ushike nchi mpaka umauti utakapokuita

    ReplyDelete
    Replies
    1. Monduli kumemshinda ataweza kuongoza nchi?
      Si alisema anaenda kuchunga ng'ombe?KULIKONI?

      Delete
  8. Baba Lowasa hata mimi ni team UKAWA,
    lakini kwa Magufuli sina ubaya nae na hata kama
    kuna mapungufu ni ya kawaida,na tuamini kwamba ni mwanzo na taratibu yatarekebishika.Anajaribu kuangalia kila sehemu ili mradi kila mtanzania anufaike,Kwa ujumla ndio tulichokuwa tunataka watanzania.Ni mapema kumuhukumu.Mungu ibariki TZ.

    ReplyDelete
  9. WAFADHILI WENU/WAKO WENGI WALIKUWA WAKWEPA KODI,NA SIPATI PICHA KAMA UNGECHUKUA DOLA.MUNGU ALILIONA HILO,ASANTE MUNGU.

    ReplyDelete
  10. That's not true, our president is the best ever, i don't think if there is any president in Africa can do what Maguli is doing, so please Mr. Lowassa don't be blind of what he is doing.

    ReplyDelete
  11. LOWASA BORA UNGEENDELEA KUKAA KIMYA,UMEKAA MADARAKANI MIAKA MINGI HATUKUWAHI KUKUSIKIA UNAKOSOA WALIOKUWA JUU YAKO,BADALA YAKE MMESHIBISHA MATUMBO YENU TU.MWACHENI MAGUFULI AFANYE KAZI,TAMAA ZENU ZA MADARAKA HAZITOFANIKIWA.

    ReplyDelete
  12. Hasira za mkizi hizo. ameshaona 2020 UKAWA hawana agenda za kutughilibu tena.Muflis. Safari ya matumaini ndo inaishia hivyo.Maono tumeshaona sasa ni KAZI TU! Carry on Yr Execellency JPM M'mungu bado anaipenda TZ

    ReplyDelete
    Replies
    1. TUTAHUDHURIA TU KWENYE KAMPENI KAMA KAWA ILI SIKU INAYOFUATA MAGAZETI YAWE YANATAWALA KWA KUONYESHA NYOMI ZA UKAWA,LAKINI MWISHO WA SIKU NIKIWA KWENYE BOX KURA YANGU KWA MAGUFULI.

      Delete
    2. Sawa sawa. Kheli yako umeona hilo. Watu wanataka kiongozi bora mwenye uongozi mzuri kwenye mataifa yao. Si arimladi kiongozi kwa kuwa niko upande furani hataaa kinacho angaliwa ni kiongozi anae faaa katika Taifa. Mataifa mengi Yasmins Afrika wanalia hawapati viongozi wanaowafaa. Mpka sasa hawamini kama huyu raisi wetu nae anatokea bara hili la Afrika lililojaa viongozi wabovu wanaoleta shida. Umasikini.matatizo mbali mbali kama vita njaa kukosa hudum. Za afya bora kwa kuwa wengi ni wajinga na wanawaza kujitajilisha na utajili ulikithili na kiyacha mataifa yao yakiwa hoiiii

      Delete
  13. Tanzania nyumbu ni wengi sana na ndo maana nchi haisongi.......kiongozi anataka kusifiwa tu na mwananchi amekalia kushangilia tu kila kitu. Logical thinking ni zero kwa watanzania. Kama lowasa kukaa serikalini kwani magufuli hakua serikalini ama jk???Ndo maana mwisho wa siku watu ambao wapo smart upstairs wanaongelea mfumo na wanahitaji mfumo ulio sahihi........shida ya hii nchi ni ccm na magufuli ni raisi aliyepatikana kupitia chama chake na ataongoza hii nchi kufuatana na ilani ya chama chake not otherwise. Still anapiga piga around the bush kuna sehemu hawezi gusa......anajitahid kutaka kuaminisha wananchi kua anatekeleza yale aliyoahidi lkn bado ana safari ndefu ya kuja kujustify kwa results. Ngoja bunge lije tuone katiba mpya itatendewa nini na rais na ndo hapo mtajua kama ni rais wa ccm ama rais wa watanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. ebu kasome ilani ya ccm kwanza inasemaje
      unaandia haya ndefu afu pumba tupu
      nyumbu wew

      Delete
    2. subiri awe mwenyekit wa chama
      sas iv magufuli hana nguvu sana ndani ya chama
      usiwe unaropokaa tuu
      mfia lowasa wew

      Delete
  14. viongozi wenzio waliopita wako kimya wanaangalia na kupongeza serikali ya JPJM,na hata majirani pia wanakubali muziki wake.Kubali tu baba,mlichemsha enzi za uongozi wenu japo si kwa yote.Wacha Watanzania tucheze muziki wa Magufuli.HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  15. lowasa mavi yako
    fisadi papa wew

    ReplyDelete
  16. Hakuna kitu kibaya kama kupoteza dira na mwelekeo Lowasa kwaheri kwenye ulingo wa siasa kwisha habari yako..

    ReplyDelete
  17. Huyu fisadi anaongea angalau asisahaulike, maana kampeni zimekwisha, akipewa nafasi ya kuzungumza popote bado anauota uraisi, na ule ugonjwa wake alonao, nadhani hajui kama uchaguzi umekwisha......ukawa hebu mkumbusheni huyo jamaa yenu kwamba UCHAGUZI UMEKWISHA, HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli wamkumbushe labda amesahau anafikiri tuko kwenye kampen. Kumbe zimesha isha iliyobaki ni hapa kazi tu sasa

      Delete
  18. Mh. Losawa hebu jaribu urais wa chama cha ngumi kwa akina bw mlundwa au TFF kwa mzee wa bukoba, uongozi wa nchi hauuwezi kabisaa tumekusikia tumekuelewa lakini hatuja kukubali ndo maana tulikumwaga mzee jiongeze bw leigwanani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad