FAIZA Ally Arusha Tuhuma Zingine Kwa Mbunge Sugu...Adai Ameenda Kumwaribia Show yake EATV na Kuzuia Isirishwe Hewani...

Faiza Ally Amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote kitakacho tokea mbele..... Leo nimeamini kabisa maneno wanayo semaga watu kuwa mwanaume ukimuacha anapenda kuona umeanguka kimaisha ni kweli.... Kiufupi ni kwamba kipindi changu kilicho kua kirushwe Eatv ni baba Sasha ndio alienda kunizibia kipindi changu kistopishwe gafla - kwa Kweli ilikua haingii akilini kabisa - Eatv walinifata wenyewe kuniomba kufanya reality show - tukashuti vipindi- wakanipa show ya kutambulisha kipindi - na tulifanya kikao Mara ya mwisho siku chache kabla ya show - na mpaka wamenipa FNL kutambulisha kipindi- siku ya jumapili ya mwisho nilikua na kipindi radeioni na Ndio ilikua interview ya mwisho ya kutambulisha kipindi na jina langu nimekuta getini nimeingia mpaka ndani wkt wakipindi naambiwa hakuna kuna mabadiliko- nikashangaa sana nikampigia producer hapokei- baadae ana niambia hajui kinacho endelea - nampigia boss haelezi maelezo yakutosha kiufupi kulikua hakuna wa kuniambia chochote ! Kha! Na hapo kipindi nimeanza kurusha matangazo kwamba kinaanza jumanne dah ! Sikuelewa mwisho kabis nikaambiwa boss kasema hakuta kuwa na msimu mpya Tena ! nikiangalia kwenye tv naona msimu mpya wa vipindi ! Juzi Ndio nakuja Ku find out kwamba ni Joseph !!!!!! Ni kachoka kabisa nimelia kwa uchungu sana ! Ameniachia mtoto namlea peke yangu hatoi hata shilingi Na Bado sehemu ambayo ningepata ugali wa mwanangu kwenda kunizibia ????? Why Joseph ????? Ugali wa mwanao ????? Ubaya gani mkubwa nilio kufanyia mpaka imefika huko ?????? It's sad nilijua wewe una roho mbaya lkn sikujua Kama una roho mbaya ilio pitiliza !!!!! mm nisinge fika huko hata siku moja ! Wkt wa uchaguzi nimefatwa Na watu tofauti tofauti mpaka watu kutoka Mbeya nikasaidie uchaguzi kwa kukuponda tu nilipwe!!! lkn nikisema hapana wewe ni baba wa mwanangu ! ......... Lkn wewe umenifanyia hivi? Na kwa hili kamwe sitakusamehe zaidi ya kumshatakia mwenyezi Mungu tu Ndio ataweza kukuhukumu!!! Bado Tanzania viongozi wana tumia madaraka vibaya! Bado Tanzania wanawake wananyanyaswa- Tanzania Bado sana kuhusu haki hata Kama sheria zipo.." Faiza Ally

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Una ushahidi gani wa moja kwa moja kua mbilinyi ndo kazuia kipindi chako?Unajua wanawake mmekua watu wakulialia sana hata pale mnalikoroga wenyewe.....sina imani kama ww ndo umemuacha sugu.....mwanaume hua haachwi na mwanamke ndo anaachwa elewa hilo. Namfahamu mbilinyi hawezi kua na roho hiyo kwako ww hata kwa nini unataka tu kumpaka tope na kumuharibia jina. Ongea na wenye television watakwambia vzuri ninisababu sio kuanza kumacuse mheshimiwa.....Alitaka kuchukua mwanae akamlee kwa amri ya mahakama ukalia akakuachia, unadhani angekua na roho mbaya angekuachia mtoto. Shida yako unatafuta sana ustaa na unasahau kua mh. ni mzazi mwenzako na sio boy frnd......hz issue hata kama hamuishi pamoja hutakiwi kuzileta mtandaoni huku wapo watu wa kuwaambia na wangewakalisha kuweza kuwapa somo juu ya mkishakua wazaz muishi vp ktk kumlea mtoto. Endelea na kiki za kimtandao tu utajua umefika wapi mwanamke usiyejielewa na usiyefunzwa wewe.......

    ReplyDelete
    Replies
    1. umenena point mdau
      mwanaume haachwi
      ttz huyu faiza anapenda kushindana na sugu wakati sio level ake kabisa
      na sidhan kama sugu anaeza kuwa na mda mchafu wa kufanya huo upuuz

      Delete
    2. Mnamjua Sugu au mnamuona na kumsikia kwenye vyombo vya habari tu?Kweli huyu dada ana mapungufu yake lakini na Sugu sio wa kumtetea kabisa,HAFAI.

      Delete
  2. Eheeee Faiza,hiyo ya kumstakia Mungu ndio silaha kubwa kwa Sugu lakni endelea kuitafuta haki yako.POLE SANA.

    ReplyDelete
  3. Janaume la hv get a gun n shoot this m@@##/#^!!&fuc yann kuaingiliana hv jamani...pole.faiza

    ReplyDelete
  4. tumekuchoka na mambo yako ya kifamilia kuleta huku kwenye mitandao.....

    ReplyDelete
  5. nyoooo nani kakwambia mwanaume haachwi? kwahiyo mfanye mambo ya kipuuzi tuwaache tu coz of what labda

    ReplyDelete
  6. Hao wanao mtetea huyo sugu kwa hili mimi siwaelewi kabisa!!! kuna makabila mengine ni wachawi sana basi wanajiona kama wao ndio wanaimiliki dunia!!! mimi simshangai faiza hata mara moja!! nimezaa na hilo kabila wakwangu hata watoto wake hawataki tena anapenda kutuona tunaumbuka!!! na pia naishangaa eatv biashara mmefanya na faiza huyo pepo ameingiaje tena hapo!! achaneni nae mbona yeye mambo yake haingiliwi na mtu!!! msaidieni faiza kama anastahili kukifanya hicho kipindi.

    ReplyDelete
  7. Daaa Pole sana Faiza, kuna mijitu mingine miyeusi na roho zao nyeusi pia. Yaani hakuoni kama wewe ni mzazi mwenzie unaejitafutia rizik. Hata kama ungekuwa si mzazi mwenzie hampasi kufanya hivyo kwa kutumia cheo chake. Ni mshamba na ujinga tu ndio unamsumbua.ushamba na ujinga navyo ni michosho baba zima halioni hata aibu. Nchi nyingi hasa za Africa na Tanzania mmja wapo zina unyanyasaji sana wa kijinsia ni bado sanaa kutambua kuwa wanawake ni watu muhimu sana katika jamii. Kinachotakiwa ni kuendelezwa kielimu. Kiuchumi na kisiasa. Akili ya mwanamke na mwanamme wote zinafanya kazi sawa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad