Halima Mdee (Kawe) na Mwita Waitara (Ukonga) na Makada Wengine Watatu Wafikishwa Mahakamani Leo

Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzake wanne  wamefikishwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam na kusomewa  shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa wa Dar es salaam

Halima Mdee akiwa na mbunge mwenzie Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga  pamoja na makada wengine watatu wa Chadema  wamekana shitaka hilo na wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa kiasi cha Shilingi Milioni mbili kila mmoja.

Mahakama hiyo imewaachia kwa dhamana baada ya kuweza kujidhamini

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYU MWANAMKE KILA KUKICHA NI MAJANGA TU. BOLA AOLEWE ATULIE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani anaoa bisexual?

      Delete
    2. BISEXUAL MAMAYAKO KWAN ALISHAKUTOMBEA DADAZAKO AU ALISHAMTOM,BA MAMAYAKOO KUMA WEWE UNABAKIA KUSHANGAA MTANDAONI MWENZZAKO ANAMIASHA ANAPIGA PESA

      Delete
  2. badirisheni kiki.sasahivi kiki nikuwatumikia wananchi ok kazi kwenu wanasiasa

    ReplyDelete
  3. BRAVO HALIMA WE JEMBE KWELI!!! MWANAMKE JASIRI!!

    ReplyDelete
  4. Nyie tulieni m4c iwaonyeshe kazi. hawa wafanyakazi wa umma mliokuwa nao wanaghushi tu mambo daily ujinga kwenye halmashauri zetu,haivumiliki.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad