Hamad Rashid: Nina Uhakika wa Kuwa Rais wa Zanzibar au Makamu wa Rais


Mgombea Urais kupitia Chama cha  ADC Mheshimiwa Hamad Rashid ametimiza haki yake ya msingi ya kupiga kura. 

Akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari  Wawi Kisiwani  Pemba,  Rashid amesema  anauhakika wa kuibuka mshindi wa kiti cha Urais wa Zanzibar. 

Amesema kama hatashinda Urais,  basi atakuwa Makamu wa Rais
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ww nawe tunajua km ndio walewale wakina mwafulani

    ReplyDelete
  2. Regretful candidate poor Hamad Rashid escorting for persornal gains.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa si alishawahi kuwekwa jela wakati flani miaka ya late 90s :)

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad