Henry Kilewo Afunguka 'Balozi Juma Mwapachu Alipoondoka Hakujiunga na Chama Chochote Cha Upinzani...Umedharaulika Sana Balozi'

Balozi Juma Mwapachu alipoondoka ccm hakujiunga na chama chochote cha upinzani.
Alibaki NEUTRAL.

Kwa akili yake finyu alidhani viongozi wa chadema watamfuata ili kumwomba ajiunge na chama chetu.

Baada ya kuona hakuna chama kinachomuhitaji,akaamua arudi alikotokea unless otherwise njaa ingemuua na family yake.

Alidhani labda watu wanaoondoka ccm na kutangaza kuisupport chadema wanapewa hela na uongozi wa Chadema kumbe laa.

Huku wamejaa Makamanda tupu hakuna mtu anayeipigia serikali goti kuomba kuishi...bali ni wajibu wa serikali kutekeleza wajibu wake kwa Wananchi...Pole sana huku ni Ukamanda wala hakuna wakukufata ujiunge na Chama...Daaah umedharaulika san Balozi....

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Muheshimiwa hata wewe unatumia lugha mbaya kwa waliokuzidi umri?
    Huna wakubwa kwenu?Kwani hakuna lugha nzuri ya kumkosoa mtu?Hayo maneno ni ya kusemwa na watoto wasio/waliokosa malezi mema.Hivi kwa nini msiwe kama Zitto Kabwe,Mbatia,Lipumba na wengine?MNAKERA!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakuna maadili siku hizi Tanzania, wazazi wamekuwa walevi, wazinzi hawana mda na watoto wao sasa ndio uzao huo wanajiropokea hovyo kisa ana kacheo kadogo.

      Delete
  2. Anony 3.02 PM kama mtu mbovu anapewa makavu live bila chenga yanini alembwe!! inahusu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad