Hii Hapa Post ya Mkongo Man Iliyomfanya WEMA Sepetu Kufunguka na Kukanusha Kutoka Kimapenzi na Mkongo Man

Mkongo Man anayejiita Apocalypse jioni ya leo alipost meseji kwenye ukurasa wake wa Instagram iliyomtaja Wema Sepetu ikionyesha kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao kitu kilichomfanya Wema Afunguke....Soma Hapa Alichoandika Mkongo Man......

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema i think sasa ni wakati wakujifunza siyo kila mwanaume unatoka nae kupiga mapicha huyu mukong kama kweli humtaki atakutia adabu.

    ReplyDelete
  2. hajatoka nae wanaume wanaotafuta kiki ili wajulikane lazima wawe kama huyo mkongo. na wewe unaesema cha wote umesahau mama yako alikuwa cha wote mpaka wewe ukatoka.

    ReplyDelete
  3. ukitaka kujulikana mtongoze Wema hata Nuh alijaribu but kaeni mkijua Wema anampenzi wake na hana ujinga huo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad