Kama ambavyo huwa nasema humu kila mara mimi ni mpenzi wa mikia.
Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili, napata wakati mgumu sana kurudia kumtazama.
Hivi karubuni nilikutana na binti mmoja alienivutia kwa mkia wake mzuri, jana ndio ilikua siku ya kuonana niufaidi huo mkia. Nilichokiaona sikuamini macho yangu, mkia sio mkia, mkia ni wa bandia, kumbe alikua anavaa skin tight yenye masponji kwa ndani.
Niliishiwa nguvu, aikutegemea maana hiyo tabia nilidhani ni ya machangu spesheli na sio hawa dada wanaofanya kazi maofisini na wanaoonekana descents kidogo.
Ushauri wa bure kwa kina dada: Jiamini, huna mkia jiamini na ujikubali kuna watu bado watakupenda jinsi ulivyo,kuna watu bado watapenda muonekano wako wa flat screen.
By The Unknown
By The Unknown
Hakuna asokuwa nao mkia ata wewe mwenyewe unao wa mbele shiit.
ReplyDelete