Hivi Ndio Jinsi ya Kusafisha Meno ya Rangi ya Njano Au Yale Yaliyoathiriwa na Maji ya Arusha....

Niaje Wakuu leo nawaletea Dawa Madhubuti kbs ya kusafisha meno yenye rangi ya Njano

Kwanza unachukua baking soda ile ya simba mbili yenye kiboski cha blue na red vijiko vya chai viwili maji ya ndimu kijiko kimoja au zaidi changanya mchanganyiko mzito utia kwenye mswaki unakutumia kama dawa ya meno.Tumia mara moja usiku au asubuhi for one week.Ili kuona Maendeleo ni vizr ukafanya Uphotographer kdg ukajipiga Picha za Before & After itakuwa vema zaid kujua maendeleo yako

Note: Make sure ni baking soda na sio ile iliyoandikwa ama kuchorwa maandazi simba mbili

Asanteni
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Afazali leo umetowa habari ya maana loooo, shukran nitaijaribu in shaa Allah

    ReplyDelete
  2. JE MENO MEKUNDU?????? INAFAA?

    ReplyDelete
  3. Mimi naitumia sana kwa mambo mengi kumbuka kuna baking soda na baking powder hapa unatakiwa ununue baking soda ambapo nyingi kwa hapa tz zinakuja kwenye vikopo vya plastic na nimeandikwa bircabornate of soda,zinapatikana shoppers supermarket,kwenye maduka yetu ta mtaani huwa hawauzi kwani bei yake ipo juu kidogo na quantity ni ndogo,ussually ni sh 4100 mpaka 7000 kwenye bis supermarkets

    ReplyDelete
  4. That might be true but we better have a witness of that...
    Kwa ambaye ametumia na ikampa mabadiliko chanya

    ReplyDelete
  5. That might be true but at least if there is witness ambaye anaweza akaprove utendaji kaz wa njia hiyo.

    ReplyDelete
  6. Daaah nmependa hyo njia....lakin gharama kiasi gani na baada ya wakati gani mabadiliko...?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad