Mshindi huyo wa BBA 2014, ameiambia Bongo5 kuwa angependa zaidi kwa sasa kujikita kwenye kazi zake kuliko kuufanya uhusiano wao uwe mjadala mkubwa.
“Sipendi uhusiano wangu uwe kitu kikubwa kuliko kazi yangu kwa sasa,” alisema.
Hata hivyo kama wasemavyo wahenga kuwa penzi ni kikohozi huwezi kukificha, Wema ameonekana kutilia mkazo jinsi ambavyo anampenda staa huyo kwa comments za hapa na pale kwenye post za Instagram.
kwahiyo huku kwenye mitandao ndio private?? mfyuuuu
ReplyDeleteWamefulia tupaa. Mimba feki mpaka kioski cha lipstiki chali. Katuni wa IG vihela kwishnei. Hahaaa. Hakuna u private. Mko zofu na nyumba za kupanga.
Deletemashallah mola azidi kuwapa mapenzi pema muoane.
ReplyDeletezibeni masikio Wema na Idriss. pendaneni kama Adam na Eva.
ReplyDeleteBata hata ukimpa kokoto ataharisha c ungeendelea kuwa kimya mlee mimba yenu private gani mtandaoni acha uhanithi dogo unapenda Kiki za kishoga
ReplyDeletewe waache maana wamesha chuja balaa
Deleteyah! muwekimya kabisa msimpe adui kujua kila kitu chenu,wengi sana wa watanzania ni watu wenye wivu na robotatu ni wachawi.
ReplyDeleteHa ha ha haaaa umenena mdau.
DeleteWema kwenye kila picha unasmail kifeki picha hazionekani vizuri ni kama vile unataka tu kuenekana lakini kuonekana kifeki unaharibu picha zinaboa sana
ReplyDelete