Idris Afunguka: Tumeamua Kuufanya Uhusiano Wetu na Wema ‘Private’ Kwa Sasa

Hutoona tena Idris Sultan na Wema Sepetu wakionesha upendo hadharani kama zamani kwakuwa wameamua kuuweka ‘private’ kwa sasa.

Mshindi huyo wa BBA 2014, ameiambia Bongo5 kuwa angependa zaidi kwa sasa kujikita kwenye kazi zake kuliko kuufanya uhusiano wao uwe mjadala mkubwa.

“Sipendi uhusiano wangu uwe kitu kikubwa kuliko kazi yangu kwa sasa,” alisema.

Hata hivyo kama wasemavyo wahenga kuwa penzi ni kikohozi huwezi kukificha, Wema ameonekana kutilia mkazo jinsi ambavyo anampenda staa huyo kwa comments za hapa na pale kwenye post za Instagram.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwahiyo huku kwenye mitandao ndio private?? mfyuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wamefulia tupaa. Mimba feki mpaka kioski cha lipstiki chali. Katuni wa IG vihela kwishnei. Hahaaa. Hakuna u private. Mko zofu na nyumba za kupanga.

      Delete
  2. mashallah mola azidi kuwapa mapenzi pema muoane.

    ReplyDelete
  3. zibeni masikio Wema na Idriss. pendaneni kama Adam na Eva.

    ReplyDelete
  4. Bata hata ukimpa kokoto ataharisha c ungeendelea kuwa kimya mlee mimba yenu private gani mtandaoni acha uhanithi dogo unapenda Kiki za kishoga

    ReplyDelete
    Replies
    1. we waache maana wamesha chuja balaa

      Delete
  5. yah! muwekimya kabisa msimpe adui kujua kila kitu chenu,wengi sana wa watanzania ni watu wenye wivu na robotatu ni wachawi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ha ha ha haaaa umenena mdau.

      Delete
  6. Wema kwenye kila picha unasmail kifeki picha hazionekani vizuri ni kama vile unataka tu kuenekana lakini kuonekana kifeki unaharibu picha zinaboa sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad