Akibonga na Showbiz alisema kuwa, anawashangaa watu ambao kila kukicha wamekuwa wakimsakama kipendacho roho wake huyo kuwa ni mtumiaji mzuri wa unga, wakati yeye ndiyo anayemjua vizuri.
“Watu wanapenda sana kuzusha yasiyofaa, sasa kama mimi ndiyo mpenzi wake na sijawahi kumuona kabisa akitumia unga wala kumuhisi hivyo iweje watu wasiomfahamu kiundani wamkomalie hilo suala, hakuna kitu kama hicho, jinsi watu wanavyomfikiria ni tofauti na alivyo,” alisema.
Chanzo: GPL
Lisemwalo lipo, ILA andaeni pesa za matibabu,maana huwa mnalia shida Sana yakiwakuta
ReplyDeleteKama anatumia kweli ajiandae
ReplyDeleteKama anatumia kweli ajiandae
ReplyDeleteHuyu binti awe makini maana mara nyingi ikisikika tetesi hizi baadae inakuja kuwa kweli
ReplyDelete