Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula
Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016.
Jiji limesimama kwa muda watu wanashangili kwa furaha mama ntilie machinga ..wanashingilia taarifa kamili tutawaletea baadae.
Bwana mafuriko ya Lowassa umeanza tena mhh kwa kupamba habari poa
ReplyDeleteJiji lisimame kwa huyo fala!
ReplyDeletehukupenda wananchi wa mwanza waufurahie uamuzi wa mahakama,ulizimia kwa presha na makende yako kuingia tumboni.huna jinsi bweha wewe,wenje yumo njiani kurudi bungeni.mwanza ni ngome ya ukawa na kama una shaka na hilo na kwa kuwa wewe ni mfugaji basi KUNYWA MKOJO WA PUNDA KIHONGWE.BULL-SHEET.
ReplyDelete