Jiji la Mwanza Lasimama...Wenje Ashinda Kesi ya Pingamizi Lililowekwa na Mabula Mahakamani

Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula

Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016.

Jiji limesimama kwa muda watu wanashangili kwa furaha mama ntilie machinga ..wanashingilia taarifa kamili tutawaletea baadae.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwana mafuriko ya Lowassa umeanza tena mhh kwa kupamba habari poa

    ReplyDelete
  2. Jiji lisimame kwa huyo fala!

    ReplyDelete
  3. hukupenda wananchi wa mwanza waufurahie uamuzi wa mahakama,ulizimia kwa presha na makende yako kuingia tumboni.huna jinsi bweha wewe,wenje yumo njiani kurudi bungeni.mwanza ni ngome ya ukawa na kama una shaka na hilo na kwa kuwa wewe ni mfugaji basi KUNYWA MKOJO WA PUNDA KIHONGWE.BULL-SHEET.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad