Diamond and Diamond's family are in German for Diamond's show and family vacation. See below what Tiffah and Mama Diamond wore in German..
Jionee Picha Jinsi Zari Hassan na Mama Diamond Wanavyokula Raha Ujerumani..
24
March 20, 2016
Tags
kwenda nchi za nje na kupiga picha ndo kula raha? na walokuwa wanaishi kabisa ujerumani wasemeje.
ReplyDeletehilo lako shosti..
Deletekachukua team nzima ili aonekane wamo kumbe ni kiki za sembe.
ReplyDeleteshow ya jana ni mademu watupu. halafu mapicha meengi than ticket zimeisha. Uongo umeambukizwa na family nzima. mpaka mama yake nae kashakua bibi masumbuko.
ReplyDeletena wewe mama yako kawa naniiiii?
Deletecomprementr hiyo awadanganye wasiomjua,
ReplyDeletena wewe unayejua vipiiii????
DeleteMbona sioni urahaji wa raha, wanakula raha namna gani, kubeba motto na begi ndio kura raha!! Wabongo kazi mnayo.
ReplyDeleteWIVU WENU TU JAMANI.
ReplyDeletekula bata nchi yenye baridi kali? sisemi hivyo sababu ya wivu mimi naishi ulaya kwa muda wa miaka kumi na ni raia wa wapa ulaya. ninavyojua mimi wazungu wakitaka kula bata wanaenda nchi zenye joto tena ni wakati wakiwa kwenye likizo. he he eti kula bata ujerumani
ReplyDeleteutajibeba mwali
Deleteraha iko wapi wapo? si wameenda kutafuta pesa na bibi ndo kawa yaya wa tifaa. Labda hamjajua raha watz.
ReplyDeletesijui tunaishi nje tuseme nini kha na suruali hiyo toka kafika ndege yenyewe turkish 😁😁😁😁
ReplyDeletena wewe ndege yako iko wapi????
DeleteNasib Abdul mmmmhhh we haya weee
ReplyDeleteBi kizee naye mshamba flani
ReplyDeletewe wa mjini basi
DeleteDuh acheni wivu basi,mtu anaweza kula raha nchi yeyote wewe unaeishi ulaya ndiyo unaeitamani nchi yenye Joto.Waliopo nchi joto nao wanatsmani wakale raha ulaya,acheni roho mbaya wote miokomment humu
ReplyDeleteUwa siwaelewei wabongo hata kidogo. Wakiona mtu yupo ulaya basi kula rahaaa bata batani hamna lolote. Hawana hata uzoefu wa maisha ya ulaya. Kwanza hiki kipindi ulaya hakufai ni baridi sana kwa mtu unaetokea kwetu kwenye joto kali huko ni mibaridi mpka kama ya kwenye frizeer kiujumla akufai labda majila ya joto ndio kuzuri maua mengi mitaa inasafishwa vizuri khali hewa iko safi kunakuwa kunapendeza lakini sio sasa mmhh michosho. Naongea kama mkazi wa huku tena nchi za Scandinavia.
ReplyDeleteKusema kweli huku ulaya hamna raha yeyote na libaridi lililoko huku. Ndo maana watu wanaenda ski holiday. Ukitaka raha uje wakati wa summer na siyo sasa. Kwanza lugha inasumbua pili baridi na tatu ulimbukeni na ushamba wa bongo. Ushamba mzigo
ReplyDeletePoa Diamond. Ni bora hata wewe unaichukua familia yako japo kwenda ona ulaya kwenye majila ya baridi kama sasa. Famili inabarizi kwa japo kutoka bongo kidogo kwenye mijoto kwa sasa.Kuliko hao wanaotumia midawa ya kulevya na kujiumiza na kuwatajilisha hao wauzaji wa midawa ya kulevya. Bora wewe unatumia hela yako na familia yako
ReplyDeleteanony wa 4.00 pm umenena maana kuna mijitu humu hata mama zao hawawatoi hata kama kuna kajiskukuu hata kuwapeleka ufukweni kuona bahari lakini utakuta mimate inawatoka kisa Diamond kwenda Ujerumani washenzi wakubwa
ReplyDeletezari na diamond boss wao ni kinje ngombale wanauza unga amini msiamini,
ReplyDeletezari na diamond boss wao ni kinje ngombale wanauza unga amini msiamini,
ReplyDelete