Jionee Picha Jinsi Zari Hassan na Mama Diamond Wanavyokula Raha Ujerumani..

Diamond and Diamond's family are in German for Diamond's show and family vacation. See below what Tiffah and Mama Diamond wore in German..

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwenda nchi za nje na kupiga picha ndo kula raha? na walokuwa wanaishi kabisa ujerumani wasemeje.

    ReplyDelete
  2. kachukua team nzima ili aonekane wamo kumbe ni kiki za sembe.

    ReplyDelete
  3. show ya jana ni mademu watupu. halafu mapicha meengi than ticket zimeisha. Uongo umeambukizwa na family nzima. mpaka mama yake nae kashakua bibi masumbuko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe mama yako kawa naniiiii?

      Delete
  4. comprementr hiyo awadanganye wasiomjua,

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe unayejua vipiiii????

      Delete
  5. Mbona sioni urahaji wa raha, wanakula raha namna gani, kubeba motto na begi ndio kura raha!! Wabongo kazi mnayo.

    ReplyDelete
  6. WIVU WENU TU JAMANI.

    ReplyDelete
  7. kula bata nchi yenye baridi kali? sisemi hivyo sababu ya wivu mimi naishi ulaya kwa muda wa miaka kumi na ni raia wa wapa ulaya. ninavyojua mimi wazungu wakitaka kula bata wanaenda nchi zenye joto tena ni wakati wakiwa kwenye likizo. he he eti kula bata ujerumani

    ReplyDelete
  8. raha iko wapi wapo? si wameenda kutafuta pesa na bibi ndo kawa yaya wa tifaa. Labda hamjajua raha watz.

    ReplyDelete
  9. sijui tunaishi nje tuseme nini kha na suruali hiyo toka kafika ndege yenyewe turkish 😁😁😁😁

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe ndege yako iko wapi????

      Delete
  10. Nasib Abdul mmmmhhh we haya weee

    ReplyDelete
  11. Bi kizee naye mshamba flani

    ReplyDelete
  12. Duh acheni wivu basi,mtu anaweza kula raha nchi yeyote wewe unaeishi ulaya ndiyo unaeitamani nchi yenye Joto.Waliopo nchi joto nao wanatsmani wakale raha ulaya,acheni roho mbaya wote miokomment humu

    ReplyDelete
  13. Uwa siwaelewei wabongo hata kidogo. Wakiona mtu yupo ulaya basi kula rahaaa bata batani hamna lolote. Hawana hata uzoefu wa maisha ya ulaya. Kwanza hiki kipindi ulaya hakufai ni baridi sana kwa mtu unaetokea kwetu kwenye joto kali huko ni mibaridi mpka kama ya kwenye frizeer kiujumla akufai labda majila ya joto ndio kuzuri maua mengi mitaa inasafishwa vizuri khali hewa iko safi kunakuwa kunapendeza lakini sio sasa mmhh michosho. Naongea kama mkazi wa huku tena nchi za Scandinavia.

    ReplyDelete
  14. Kusema kweli huku ulaya hamna raha yeyote na libaridi lililoko huku. Ndo maana watu wanaenda ski holiday. Ukitaka raha uje wakati wa summer na siyo sasa. Kwanza lugha inasumbua pili baridi na tatu ulimbukeni na ushamba wa bongo. Ushamba mzigo

    ReplyDelete
  15. Poa Diamond. Ni bora hata wewe unaichukua familia yako japo kwenda ona ulaya kwenye majila ya baridi kama sasa. Famili inabarizi kwa japo kutoka bongo kidogo kwenye mijoto kwa sasa.Kuliko hao wanaotumia midawa ya kulevya na kujiumiza na kuwatajilisha hao wauzaji wa midawa ya kulevya. Bora wewe unatumia hela yako na familia yako

    ReplyDelete
  16. anony wa 4.00 pm umenena maana kuna mijitu humu hata mama zao hawawatoi hata kama kuna kajiskukuu hata kuwapeleka ufukweni kuona bahari lakini utakuta mimate inawatoka kisa Diamond kwenda Ujerumani washenzi wakubwa

    ReplyDelete
  17. zari na diamond boss wao ni kinje ngombale wanauza unga amini msiamini,

    ReplyDelete
  18. zari na diamond boss wao ni kinje ngombale wanauza unga amini msiamini,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad