Jokate Mwegelo Afunguka "Nangoja Edward Lowassa Kurudi chamani CCM Kama Mwenzake..."

Kupitia account yake ya twitter Jokate ameandika ujumbe mfupi na kusema anasubiri EL kurudi chamani "Waiting on EL kurudi chamani".

Ujumbe huu wa Jokate umekuja masaa machache baada ya Balozi Mwapachu kutangaza kurudi rasmi leo katika chama chake hicho cha CCM na jambo hili limepokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa East Africa Radio, wapo wanaompongeza na wapo wanaombeza.

"Huyo CCM mwogopeni kama ukoma, tatizo lake anahangaika kutafuta madaraka, anasaliti huku na huku ndio wanaosababisha uhasama katika nch,inatakiwa achukiwe kila mahali" aliandika Daud Mwakyeja.

Na upande wake Emmanuel Mwakyusa alikuwa na haya ya kusema "Duuuuu angekuwa baba yangu ningemwambia kitu kwa vile sio nampotezea, msomi mzima kubadili msimamo miezi miwili ni aibu hana uzalendo wala thamani ya uelewa tuwakatae kina Mwapachu hawana msaada 'Edo' inaonekana thabiti hajarudi nyumba kuliko Mwapachu".
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu hajielewi

    ReplyDelete
  2. UTASUBIRI SANA JOKETI EDO ANA MSIMAMO KAMWE HARUDI SISIEM KWA LIPI HASA!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. WA KAZI GANI SASA,HATAKIWI NA NDIO MAANA ALIKATWA MAPEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

      Delete
    2. Atarudi vipi CCM wakati haohao ndio walimkata?

      Delete
    3. Nani anamtaka edo ccm Magufuli wetu atosha 😁😁😁kaeni nae hukohuko

      Delete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. NA AMSUBIRI KIBA NDIO ALIEKUWA MPENZI WAKE YA EL ASIYATAJE.

    ReplyDelete
  5. Subiri upate mjukuu kupitia kwa mtoto wako utakae zaa ndio el atarudi huko magamba wako,nenda kauze ndala zako kwanza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad