Kasi ya Magufuli Yamkuna Rais wa Rwanda Paul Kagame...Aamua Kumuiga Kwa Kufanya Hili Kwa Viongozi wa Umma

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa atapunguza safari za nje za watumishi wa umma. Apongeza hatua anazochukua Rais Magufuli. 

Ameyasema hayo Jana wakati wa akiwahutubia viongozi mbalimbali wa Serikali yake 

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAFI KAGAME,RUKSA KUIGA MAZURI KWA MASLAHI YA WANANCHI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad