KR Mulla Aongelea Issue ya Mwanamuziki TID Kutumia Madawa ya Kulevya.....

KR Mulla amefunguka nakusema hana ufahamu kama bosi wake wa Radar Entertainment T.I.D anatumia dawa za kulevya.

KR Mulla “Mimi huwa napenda kumwambia mtu ukweli ningekuwa nimeshamuona akitumia madawa ya kulevya ningemwambia kwamba aache kwani sii mazuri”.

Aidha Mulla amesema kwamba hata yeye mwenyewe hatumii madawa hivyo hata akisikia watu wanasema kwamba anatumia huwa anawatazama tuu na kuwaacha kama walivyo na kama angekuwa anatumia asingekuwa na muonekano huohuo hadi hivi sasa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad