List ya Nyimbo za Bongo Flava Zinazokwenda International Inazidi Kuongezeka Tanzania….

Wimbo kuchezwa kwenye kituo cha Kimataifa ni good news kwa wasanii, muziki wa Bongofleva unazidi kupata rotation kubwa Barani Afrika, March 8 2016 Trace TV imeanza kucheza wimbo wa Darassa ft Rich Mavoko   ‘Kama Utanipenda‘

,’Kama Utanipenda‘ imezichukua headlines tena baada ya video hiyo kuchezwa kwenye moja kati ya kituo kikubwa cha TV Africa  ‘Trace Tv‘,  Video ya wimbo huu umefanyika nchini Tanzania chini ya Director Hanscana

huu ni ujumbe aliopost Director Hanscana baada ya Video ya ‘Kama Utanipenda’ kuchezwa kwenye Trace TV

Hanscana_’s/o to @tracenigeria to premiere #kamautanipenda kwa upande wa tv za kimataifathank you so much @tracenigeria .Na ntazidi kukaza mpaka mwisho tutakutana tu huko huko .@darassacmg ft @richmavoko #kama_utanipenda #kamautanipendaGUSA LINK KWENYE BIO YANGU KUITAZAMA‘
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad