Lulu Michael Afunguka Baada ya Mtu Kumzushia Kuwa Alihusika Kusababisha Ajali iliyotokea Jana..' Adai Mungu Atawalipa'

Wengi wamefurahia ushindi wa Waigizaji wa Tanzania Lulu pamoja na Richie kwenye tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 na sasa tumeendelea kushuhudia comments na post mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii baada ya ushindi huo ambapo uhuru ambao kila mmoja anao kuandika chochote kwenye mitandao hii unaweza kufikia kukwaza watu wengine
Lulu ambaye alishinda tuzo ya Movie bora Afrika Mashariki kupitia movie yake ya ‘Mapenzi’ alihuzunishwa na post moja iliyoandikwa kwenye mtandao wa Instagram ikisema >>> ‘Jamani umbea mtamu khaaaa, yani umbea mtamu kama kuku jamani, bwana leo kuna mtu kanifata DM kanipa Umbea na mimi sitaki kuongeza chumvi
Haya soma mwenyewe, mambo Duller? naomba unifiche jina langu, ni kweli kabisa Lulu anahusika na ajali iliyotokea jana watu wakafa wengi, mimi nipo Nigeria, alimuomba rafiki yangu Mnigeria ampeleke kwa mganga mkubwa hata wa kitoa kafara yeye atafanya, kwa mganga akaambiwa aongee yote chini ya mti na dawa akapewa ya kutupa njia panda yoyote usiku wa manane
Ajali iliyotokea Dar es salaam
Ajali iliyotokea Dar es salaam
Haya nimeambiwa na Mnigeria ambaye kampeleka ambaye ni Bwanaangu, sasa jana baada ya kumuonyesha picha ya ajali iliyotokea akasema sawa kabisa huyo ni Lulu sababu aliambiwa asipitishe siku mbili majini hayatakaa Tanzania zaidi ya siku mbili
lulu 12
Baada ya Lulu kuiona hii post aliichukua kama ilivyo na kuiweka kwenye page yake ya Instagram na kuandika yafuatayo… ‘Jamani mpaka sasa hivi mshaongea vitu vingi sana na nimekaa kimya, okay kwa hili siwezi kujua ni watu kiasi gani wataamini na wengine hawataamini, kilichonifanya nipate tuzo au mafanikio ni Mungu, juhudi zangu pamoja na watu walionipigia kura
Sijawahi na wala sina fikra za kutumia nguvu yoyote ya ziada kupata mafanikio, kama mnahisi maneno na uongo vinaweza kunirudisha nyuma kwa hali yoyote nawaombeeni muishi maisha mengi muone Mungu anavyozidi kuniinua, wewe uliyepost na huyo aliyekutumia msg sibishani na nyie ila imani yangu ntaongea na Mungu wangu tu, mtajutia mlichokifanya hata kama ikiwa baada ya miaka 50 mana najua Mungu anajibu kwa wakati
Lulu 11
Chanzo:Millard Ayo

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole lulu mi sio shabaki yako sikupendi hata mpaka sasa na ushindi wako bado sikupendi lkn kwa hili pole mwaya..daah...

    ReplyDelete
  2. yaani wabongo ndiyo maana hamuendelei na ndiyo maana wazungu wanawaona wabongo hawana akili kazi kuongea umbea tuu, kanumba alivyofariki mkasema eti Lulu alihusika, wakati yeye mwenyewe Kanumba alikuwa mwanachama wa Freemason mda wake wa kufa ulifika kwa sababu alishindwa kufuata masharti yao kama kufa kanumba angekufa tu hata kama asingekuwepo na Lulu, hata mama yake Kanumba anajua kuwa mwanae alikuwa Freemason na ndiyo maana Kanumba alienda freemason alikuwa anataka nyota ya mvuto na kweli alifanikiwa. Mnamsakama mtoto wawatu Lulu wakati Kanumba anafariki Lulu alikuwa underage mdogo chini ya miaka 16 alikuwa hajui lolote, lakini jinsi mibongo kwa umbea mpaka mnatia kinyaa kwa umbea na hilo lililosema eti Lulu anahusika na ajali iliyotokea dar wewe ulisema hivyo kuma nina zako unafirwa wewe ngedere mkubwa wewe mama yako ndiyo mchwawi na wewe pia Mwacheni mtoto wa watu Lulu mnamuonea donge kwanza ni mrembo sana kuliko nyie mnaomsema vibaya, vilevile amepata tuzo na pia ni mchapa kazi sio nyinyi mnaomsema vibaya kazi hamna kazi yenu ni kukalisha mikundu yenu kwenye computer na kuandika bullshit! mrembo Lulu achana nao hao wala wasikuumize kichwa najua kusingiziwa mambo hayo inaumiza sana lakini ujue ukweli huwa mwishowe unajitokeza hao hao wanakusema vibaya ipo siku moja wataumbuka na wataonekana kuwa ni waongo sababu Mungu yupo. Hongera sana kwa tuzo uliyoipata Lulu ona mambo yameanza kukunyookea vizuri wewe piga kazi tu waache hao wanaosema waseme wataishia kusema tu na mwishowe watachoka watakuwa hawana la kusema. Salaam kwako Lulu na familia yako.

    ReplyDelete
  3. LULU LEAVE THIS FUCKEN TANZANIAN TALK NIWAPUMBAVU HAWANA MAANA

    ReplyDelete
  4. HUYU MTU ASHINDWE KWA JINA LA YESU , MABAYA YOTE ALIYOKUOMBEA LULU YAMPATE YEYE. ELIZABETH MUNGU NI MWEMA YUKO UPANDE WAKO HAWATASHINDWA KAMWE KAZA BUTI MDOGO WANGU.JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad