Mange Kimambi Afunguka Baada ya Mtaliano Kuandika Barua ya Kuwashafisha January na Mwamvita Makamba....




"Mangekimambi_ hii ndio Tanzania yetu. Mlalamikaji ambae a few hrs before aliingia Twitter Na kumtishia January Kuwa atae expose na Safari Yao ya Dubai amesainishwa na barua na wana sheria kabisaa ya kumsafisha January Makamba! . .

Have you guys seen anything like this before?? Does it make sense?? a few hrs before mlalamikaji anatoa vitisho hadharani then anafanya a complete 100% turn around , akili kichwani kwako Mtanzania! Wow! Anyways, like I said any reasonable average person anaelewa what happened, you don't need to be a genius. Yani hata Waziri Mkuu na Rais wakiamua kumwacha January ni vile waamue but from zile audio za Mwamvita, to interview ya January hata wao wanajua January is guilty as charged!

Barua yenyewe wamemuandikisha fasta Mpaka wamekosea date

Hata wasipomchukulia hatua Ila In 2020 we will not forget , voice note bado zitakuwepo, email bado zitakuwepo, interview ya January bado itskuwepo Na tutawakumbusha Watanzania " Mange

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mange unachuki binafsi na makambasi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo liko wazi mbona, anazidi kujichora!

      Delete
  2. hahahaaa
    me nilijua tuu apa kuna mambo binafsi
    mtuu haezi dai pesa zote izo through media hata RB ya polisi hana tena mzungu, mtaliano
    ndio ttz la kuzaliwa mwezi wa 3 pole Mange umezidi shobo

    ReplyDelete
  3. salim mohamed hujielewi wew
    kwanza unguja atutaki machotara

    ReplyDelete
  4. Magufuli kaisha tuma wapelelezi wiki hii lazima January aondolewee,mwizi mkubwa nyooooo!!!!eti ooooh simjui,hamjui na wakati mlienda wote dubai wewe na dada yako kumchuna mzungu wa watu halafu leo unasema hujawahi onana naee,shame on you January,hata huruma huna???kaz yenu ni kuroga tuu na utapelii ndo jadi yenu pumbafu nyiee hii ni serikali ya magufuli sio ya kikwete ya kuleanaa hapa ni kaz tuu!!!!mpeni pesa zake hata nusu basiii,lol...mnaiba pesa zote hizooo hata huruma hamuoniii???achia uwaziri plzzzzz mwizi mkubwa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange.investigation journalist/blogger anakwenda mbali zaidi ya hapo not rumours.you have evidence prove it or show it.tumesikia audio ya january na mzungu kajitokeza now is ur turn to prove.wasomi wanaenda hivyo.naomba na wewe ueleze kwa nini ulivyotua jknia kusikia unatafutwa ulikimbia na kupandia ndege nairobi?hapa naona unatafuta kick or ni chuki zako binafsi dhidi ya mwamvita.then tafuta kick ya kuja kugombea 2020 but wabongo tumeshafunguka.jibu na kshfa ya drugs unayohusishwa nayo pia?sio kutumia blog yako kuandama watu without strong evidence.naomba majibu mange if ur personal clean then we can expose ur other side of ur life

      Delete
  5. Badala ya kumkomalia waziri awajibike kwa kutumia cheo vibaya mnaangalia habari imekujaje.Ufisadi ulivyoshamiri TZ ni mahakama ipi huyu mtu angeenda kudai haki yake acheni utani. Watanzania badilikeni maendeleo hayaji kwa kuendekeza fikra za karne zilizopita. Hakika binafsi simfahamu Mange ila wangepatikana watano kama Mange. Nchi ingepona.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa iv watanzania tumehamka mdau
      tuko nyuma ya JPJM
      mange na yey ni jipu me nahuakika kuna gazeti linafatilia hii ishu kmya kmya na kama january ana kosa atawajibishwa tuu kwa faida ya watanzania na sio mange

      Delete
    2. Msiwe na wasiwasi mimi namjua Mange kuwa ni jipu,nitalitumbua muda si mrefu,subirini!

      Delete
  6. Anonymous 12:51 please tumbua. Kazidi sasa. Ndoa yake iko chali. Vikorokoro vyake anavyouza hapa town havieleweki. Kazi mabifu na watu tu kama yule mimba feki. Badala ya kulea mitoto yake kutwa yuko mitandaoni.msonyo

    ReplyDelete
  7. Huyu malaya mchafu wa chupi si alisema mwaka huu ni kutafuta pesa tuu mbona kashaanza umalaya wake wa chuki za bure akachezee govi la mzungu wake ohhhhhh kumbe aliachika.jealous will kill her bitch

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange ana usongo na dunia nzima. Kama yule shoga yake wa mimba feki. Alipokuwa anamnoa Idriss alitulia kidogo. Sasa kaachwa anamjutia CK. Akimuona Kajala analianzisha. CK was good and guess what...he is coming back... Uza nyapu lupitia mgongo wa lipstic hahahaha

      Delete
  8. akina makamba wanalo hilo!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad