Mashabiki Wakerwa na Kauli Hii ya Zari, Wadai Amewakejeli Maskini

Labda ukweli unauma.. Kwamba wengi tunatamani sana maisha mazuri anayoishi Diamond na mchumba wake, Zari the Bosslady. Wapo wanaoishia kutamani na kumuomba Mungu nao waje kuwa na maisha hayo, wengine hushukuru na hufurahi tu kwa kile walichonacho ama tumeseme wameridhika na kidogo wanachopata.

Lakini wapo ambao hushindwa kujizuia kupata wivu na kuwachukia tu watu wenye mafanikio – wa kuitwa haters. Hayo ni majaribu makubwa waliyonayo mastaa duniani. Lakini sio mara zote huvumilia matusi na kejeli wanazozipata kwenye mitandao ya kijamii.

Wakati Zari akiendelea kula raha Ulaya na mchumba wake Diamond, ameendelea kutupiwa vijembe na watu kuwa hawajali tena wanae watatu aliowaacha Afrika Kusini, kwamba kila siku kiguu na njia na Diamond. Hilo limemkera, na ameamua kulijibu.

Staa huyo amepost picha hiyo juu na tafsiri yake kwa maneno hayo ni:

Watoto wangu wameniuliza, kwanini kila mtu amechukia? Nimewaambia tuna vitu ambavyo hawana. Wakati mnachukua, mimi naenda mall, kumwaga fedha. Naweza, huwezi

Lakini pia aliweka caption isemayo: Baadhi yenu hamtaelewa hili lakini ni sawa. Ninawajibika kwa ninachoandika, na sio unavyokielewa.


Hilo limeonakana kuwakera wengi, wakiwemo mashabiki wake. Baadhi waliongea mambo mazito kiasi cha kumfanya awajibu pia.


Well, good news ni kubwa ex wake, Ivan, amewachukua wanae na kuwapeleka kwenye kisiwa cha maraha cha Ibiza kula pizaa! So waswahili wanasema hiyo ni ngoma drooo… Pesa inaongea!!

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tatizo la huyu mdada nikutoka na kijana mdogo, ndiye anamzingua! mtu mzima lakini mambo yakitoto anafanya!

    ReplyDelete
  2. huyu bibi masumbuko anatamani arudi kuwa na miaka 25.

    ReplyDelete
  3. hajiamini kila anachokifanya anataka watz wamsifie, kashachoka hana kiki anajitutumua tuu bibi kizee zari.

    ReplyDelete
  4. AKAFIE KWAO HUKO HAKUNA MTU MWENYE HAJA NAE NI HAO WASOJITAMBUA KAMA YEYE. CHEFUUUUUUUUUUU.

    ReplyDelete
  5. imemuuma x wake kaenda vecasion, kabakia kutukana watu. mbona kaachwa sweden hakwenda oslo?? pesa za madafu zinaanza kwisha.

    ReplyDelete
  6. mnafiki mkubwa yeye mwenyewe anangangania kwa kina chibu na kujizalisha anafikiri ataandikiwa urithi. hana hamu na wanae kwa mboo ya muuza mitumba.

    ReplyDelete
  7. nyie wabongo kweli akili zenu finyu yaani mnamuona mtu wa miaka 35 ni mzee? inaonyesha hamkwenda shule hamkusoma ulaya watu wanaitwa vijana hadi kwenye miaka 40 kwa sababu wazungu wamesoma. ndiyo maana wazungu wanawaona waafrika hawana akili na ni kweli kabisa. Mrembo Zari achana nao hao wendawazimu wanakuonea donge tu sababu umewachukulia mbongo wao na Diamond alifanya vizuri kumchukua mrembo kutoka Uganda maana aliwachoka mademu ya kibongo kwa jinsi ya umbea wao.Zari yeye katulia kama wazungu vile hapendi umbea wala maneno maneno, mlikuwa mkimsema sana yeye alinyamaza kwa muda mrefu sasa hivi kawajibu mnaanza kupanik

    ReplyDelete
  8. Mbona mapovu wabongo? Wamalize ma tiffa

    ReplyDelete
  9. hata wewe ni mbongo na huna akili kama zari kizee cha ug.

    ReplyDelete
  10. HAMNA LOLOTE NI WIVU WENU TU KAJAALIWA NA MUNGU ZARI.SEMENI SAANA TU ZARI WEE SONGA MBELE NA MAISHA YAKO. PILIPILI IKO SHAMBA MWAKEREKA NA NINI JAMANI.SIONI TATIZO LA ZARI KUWA NA DIAMOND. MAPENZI HAYA UMRI WAMEPENDANA JAMANI WAACHENI. HEBU ANGALIA YAKO KWANZA KABLA YA KUMJAJI ZARI.WIVU UMEWAZIDI WABONGO !!!!

    ReplyDelete
  11. wewe uliyesema kuwa mimi pia ni mbongo ndiyo mimi ni mbongo ninaishi ulaya na nimekulia ulaya na kusoma ulaya kwa hiyo akili zangu ni sawa sawa na wazungu, mimi napatana na wazungu tu hapa lakini sipatani na wabongo wanaoishi hapa kazi yao ni umbea tu, yaani hawana kitu cha kufanya zaidi ya umbea ndiyo kama hao wanaomsema Zari, mara Zari mzee sijui nini Zari sio mzee yaani ni kijana mdogo tu yaani wabongo ni wanafiki hawapendi maendeleo ya mtu wanachotaka ni kumharibia mtu maisha yake mwenzenu Zari ni mfanyabiashara anajitegemea mwenyewe sio kama nyinyi mda wote mnashinda kuandika umbea tu hamna kitu cha kufanya, ooh sijui Zari kawaacha watoto wake kaenda ulaya, ninachojua mimi Zari na mume wake wa zamani huwa wanapeana zamu ya kuwalea watoto wao sasa hivi ndiyo ilikuwa zamu ya mumewe wa zamani kuwa na watoto, na ikifika zamu ya Zari kuwalea watoto ndiyo huwa anarudi South africa kuwa pamoja na watoto wake. Mjue ukweli huo siyo kila mara mnatafuta kisingizio cha kumsema mrembo wa watu. mrembo Zari hao wabongo wasikuumize kichwa wewe kula bata ulaya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. tatizo wanawakke wa kiafrica walio wengi hawana kazi za kufanya, ndio maana kutwa wako mitandaoni kutafuta umbeya, yaani umbeya na majungu kwao ndio vitu vya maana kwa kupitisha siku kwa shughuli hiyo, utazani wanalipwa vile? au ndio maendeleo. Ndio maana si ajabu kuona sisi wafrica wanawake saa zote tuko nyuma kimaendeleo, na mtaani wamejaa, wale wa oooooh sikubali mie, kanichukulia bwanaangu, wengine hata kusoma au kujishugulisha hawapendi kutwa wanawaza mabwana, hao mabwana wenyewe sasa hmmmm ngachoka mie upupu mtupu, wanawapanga mpka basi. si wanawaona wanawake ni wajinga

      Delete
    2. WEWE UMESEMA. WABONGO UNAFIKI UMEWAJAA TU NA WIVU WA KUPINDUKIA ETI ZARI MZEE?? ONA HAYA WEWE UNAYESEMA HIVYO WIVU TU UNAWASUMBUA.KABLA YA KUMSEMA ZARI VIBAYA JICHUNGUZE KWANZA WEWE UKOJE?

      Delete
    3. Wabongo tunatia aibu kha! wivu mpaka povu. Nampenda na nina mkubali Zari

      Delete
  12. Zari wachomeeeeeeeeee, wivu ndiyo unawatesa.

    ReplyDelete
  13. namshangaa sana anaye jidharau na kuthamini mjungu. akajipodoe awe mweupe kama nguruwe. be proud of being african not mzungu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad