Mgonjwa Afariki Hospitali Sinza Palestina Kwa Kukosa Dripu ya MAJI

Wakati serikali ikipambana kuboresha muhimbili, Mgonjwa amefariki hospitali ya Palestina Sinza, kwa kukosa dripu ya maji.

Bwana Chesco Athmani amepoteza maisha katika hospitani ya Palestina Sinza, Dar es Salaam kufuatia hospitali hiyo kukosa maji ya kuongezea wagonjwa.

Ndugu wa marehemu wamemlalamikia daktari wa zamu kwa kushindwa kumpa huduma mgonjwa wao na kuwajibu vibaya.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad