Mkubwa Fella Akanusha Wasanii Wake Kujihusisha na Biashara ya Madawa ya Kulevya

Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Mkubwa Fella amekanusha madai ya

Akiongeza na Sporah Show ya Clouds TV Jumamosi hii, Fella aliulizwa kwamba kuna taarifa zina sambaa kuwa wasanii wake pamoja na yeye mwenyewe anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

“Hakuna madawa ya kulevya wala nini,” alisema Fella.

Aliongeza, “Mimi mwenyewe nakituo changu cha kuwasaidia walio athirika na madawa ya kulevya. Teja wowote akitaka kuja kupona ni bure, sasa kama mimi ni muuzaji tena kwanini niwatibu, si napoteza wateja,”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Remember that what you are doing in the dark will surely one day come out in to the light

    ReplyDelete
  2. aah wapi izo ni steal usijulikana. Pesa yakuwaudumia unapata wapi? kwa nini usisaidiye wakina... ombaomba itoke barabarani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad