January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.
Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.
Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.
Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.
Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.
Mwamvita Makamba
SIKILIZA HAPA:
Wapi nyieee hahaaah kashfa nzitoooooo mnalooo hili mtu atakurupukaje awasingizie nyie...mbona miaka yote alikuwa kimya nn kimemfanya aongee sahv lipo jambo na mtaaibika wotee
ReplyDeleteacha ushabiki mandazi
Deletemtu kadhulumiwa madola yote anadai kupitia social network?
kwanin asiende mahakaman
ukweli utajulikana tuu ila sion kama kuna kesi apo kwa makamba
Acheni utapelii nyiee rudisheni pesa zakeee hata aibu hamuoniii,lol!!!magufuli kaisha tuma wapelelezi mtajutaaa mbwa nyiee wizi tuuu!!!!
ReplyDeleteKabisa, Sehemu sahihi ni Mahakamani,Social Media itamsaidia nini, seems anatafuta Jina, Hears says Yupo Hyatt Regency kazuiwa kutoka sababu ya madeni, kama ana madola si alipe basi.
DeleteLisemwalo lipo kama halipo laja.nyinyi watoto wa. Wakuu mnaopewa madaraka kirahisi sababu ya wazee wenu kuwa na vyo vikubwa. Vyeo hivyo hamstahili, hekima na akili hamnazo, mnalindwa na chama chenu, mko wengi sana, mnatumika kwa njia moja au nyingine kupokea rushwa kwa kupata mikataba mikuu ya nchi. Ni mambo ya chinichini yanafanyika na wazungu wasio hata na uwezo, matapeli, kuwatumieni nyinyi wanapewa mikataba. Ni hii mokataba mibovu imejaa mingi serikalini kupitia watoto wa vigogo saba u mliiweka Tanzania shamba lenu na mmevuna hasa. Ni nyinyi wakati wa uchaguzi mliipigia debe ccm kusudi ishinde na mendelee na viloja hivi. Mlitukana sana. Leo mambo yanatoka hadharani. Huu ni mwanzo tu.
ReplyDeleteukiona mtu anshabika ccm kuna anachokipata sasa vinawatokea puani ole zenu.
ReplyDeleteapa ni utaifa kwanza wala sio ccm
Deletembowe nae anajipu lake
zitto ana hela kibao kaficha njee
tuache ushabiki wa vyama tufanye kazi kwa pamoja
mnalo hilo!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete